Naweza Vipi Ku-deal na Mwanamke Mwenye Kiburi cha Pesa na Tabia ya Ubinafsi?

Hello friend, i don’t want you to be delusional ndio maana nawaambia ukweli.

Nyie wanaume ni providers, are you guys submissive?

Mwanamke akishaanza kuprovide….. umemuondolea her femininity, Umempa authority, toka lini authority inasubmit?
 
Kuingia kwenye mfumo na kubaki kwenye mfumo ni vitu viwili tofauti.

Wanaume hamjui kujudge character! 😭
 
Ni kipi kimekuvutia bwana Kikubwa Pumzi zaidi ya pesa zake???

Kama umependa pesa kubali kuolewa.
 
Mzee,...huwezi kumnyoosha mtu mzima. Huwezi kumcontrol mwanamke ambae anazuia mamlaka na utawala wako. Kwakifupi huyo sio mwanamke wako ni mwanamke wa mtu mwingine. Wewe tafuta size yako, yupo mwanamke kwa ajili yako ila sio huyo. Huko unakoelekea unatafuta matatizo zaidi ya hicho kiburi unacholalamikia. Mzee,..ndoa ni ya mwanamke, akiamua kukusikiliza na mfanye maisha utayafrahia mahusiano yenu. Akiwa hayuko tayari hata ufanyeje hakuna kitu kitaenda. Na kamwe usitumie nguvu kubwa ili kuyafanya hayo mahusiano yaendelee kuwepo, acha yaendelee kujiendesha yenyewe kupitia utayari wake. Mwanamke ambae ameamua kua na wewe atatii mamlaka yako hata awe na mali au pesa kiasi gani. Lakini kama hajaamua hata ufanyeje haitowezekana na utaishia kwenye matatizo makubwa. Unaishi na mwanamke wa mtu Mzee, muache aende kwa jamaa yake na wewe tafuta mwanamke wako yupo sehemu anakusubiria.
 
Kuwa provider hakukuondolei asili yako ya kuwa mwanamke au mwanaume. Mke wangu akilipa bills za familia badala yangu haimfanyi kuwa mwanaume. Na kuna wanawake wengi tu wanalipa bills na bado wanawaheshimu na kuwasikiliza waume zao. Mwanamke kunituma bar nikamnunulie chips hakunigeuzi kuwa mwanamke kamwe and I have done that many times.
 
Shida hamtaki kukaa chini na wazee wa kwenu..... unadhani bibi zetu kutulia kwenye ndoa miaka 50 na wanapiga kazi wazee wanacheza bao ilikuwa n bahati mbaya???

Zungumza vzr na wazee wakupe code... huyo unaoa vizuri kabisa na anatulia ndani
 
Shida hamtaki kukaa chini na wazee wa kwenu..... unadhani bibi zetu kutulia kwenye ndoa miaka 50 na wanapiga kazi wazee wanacheza bao ilikuwa n bahati mbaya???

Zungumza vzr na wazee wakupe code... huyo unaoa vizuri kabisa na anatulia ndani
Nilitaka nimwambie hivi pia… ama kuna njia nyingine za “kisasa” “za kimasta” za kumfanya huyo bibie atulie.

Ila siku akijitambua kazi inaanzia hapo.
 
Kama unaelewa… ninini kinaondoa feminine energy na kumfanya mwanamke kubehave kama mwanaume?

Kumfatia mkeo chips it’s an act of service.. na ndio masculinity yenyewe, lots of men do.

Again, hamna mwanamke ataprovide then asubmit katika huu ulimwengu wa sasa, kubali moja, Aprovide au a submit. au 50/50 equal partnership… (hii inatokea mostly kwa wale ambao ni marafiki) Hakuna kati yao anayedemand kunyenyekewa.
 
Ni kipi kimekuvutia bwana Kikubwa Pumzi zaidi ya pesa zake???

Kama umependa pesa kubali kuolewa.
Wewe umenyooka kama rula, na huu ndio ushauri unaofaa katika hii situation.

Binafsi sina tatizo na mtu kuchagua mwanamke mwenye hela, au provider… ninachosema ni kuwa kuna vitu itabidi ukubali kukosa, which kaka zetu wa kiafrika hawawezi kuishi namna hiyo.

Matokeo yake, atataka kumkunja samaki mkavu, hence migogoro hii tunayoiona kila leo.
 
Hii kunyenyekewa sijui kwa nini huwa sivutiwi nayo ,binafsi napenda kuheshimiana tu
 
Hii kunyenyekewa sijui kwa nini huwa sivutiwi nayo ,binafsi napenda kuheshimiana tu
Inahitaji ku-unlearn vitu vingi kuhusu culture yetu na kuwa free thinker kufikia kutokutaka kunyenyekewa kama wewe.

Unaona viongozi wetu wanavyobehave? hivyo ndivyo exactly taasisi ya ndoa ya kiafrika ilivyo.
 
Hii kunyenyekewa sijui kwa nini huwa sivutiwi nayo ,binafsi napenda kuheshimiana tu
Watu wengi (mm nikiwemo) huwa tunashindwa kutofautisha hivi vitu viwili maana vinakaribia kufanana sana!!

Heshima ikiwa 100% inaanza kuwa na taswira ya unyenyekevu... kwa lugha nyingine tunaweza sema unyenyekevu ni heshima iliyokamilika!!

Ila wanaume huwa tunajisahau na kutaka kuogopwa... kuitaka heshima kupitia mlango wa uoga, huku ndo huzaliwa matumizi ya mabavu n.k

Mwisho ukitumia njia hii unapata unyenyekevu usio na heshima ndani yake!!
 
Being humble na Being represented 🤔
 
Ni kipi kimekuvutia bwana Kikubwa Pumzi zaidi ya pesa zake???

Kama umependa pesa kubali kuolewa.
Hapana mimi sio muumini wa pesa za mwanamke imetokea tu nime-fall kwa mtu mwenye uwezo. Nimevutiwa na umama wake ni aina ya wanawake unaona anaweza kuwa mama bora, hana pilika pilika nyingi anapenda maisha ya home kupika, usafi wa nyumbani, na hata akitokea mgeni ana behave kama wamama wa 1960s jikoni fasta anataka kumuandalia chochote. So nasema mother material sababu nafikiri watoto wangu watapata mama bora kwa ulimwengu wa sasa. Mimi sina pesa ni wakawaida ila naamini naweza zipata muda wowote wala kichwani kwangu sipigi hesabu ya mali zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…