Mpaka akuue ndio utapata suluhishoWadau naomba ushauri wenu.
Nimekutana na mwanamke ambaye kiukweli yuko vizuri kifedha kuliko mimi. Tatizo linalonichanganya ni kwamba ana tabia ya kujiangalia yeye tu na wakati mwingine anaonesha dharau kidogo.
Nina interest naye na natamani kuingia naye kwenye mahusiano, lakini najiuliza:
Je, hii ni red flag au ni kawaida kwa mtu aliyepitia maisha fulani yasiyo na ups and downs?
Inawezekana kubalance mahusiano kama kuna tofauti kubwa ya kipato?
Nifanye nini ili nisiwe naonekana mnyonge au kupoteza heshima yangu?
Nimpotezee mambo yasiwe mengi japo namuona ni mother material?
Sipendi kuingia kwenye mahusiano ambayo nitajikuta najishusha, kutoheshimika au kuumia baadaye, lakini pia naona ana vitu vizuri ambavyo vinanivutia.
Naomba ushauri wenu
Kama vile ??????Au sio!
Jibu zuri kabisaMwanamke mwenye kiburi kwajiliya sura, shape, pesa, n.k. ni ngumu kumridhisha labda akupende mwenyewe
Acha kupoteza muda wa mahusiano serious, ukishindwa sana honga, onja, kisha sepa
Piga chini mkuu, utakufa mapema kwa stressWadau naomba ushauri wenu.
Nimekutana na mwanamke ambaye kiukweli yuko vizuri kifedha kuliko mimi. Tatizo linalonichanganya ni kwamba ana tabia ya kujiangalia yeye tu na wakati mwingine anaonesha dharau kidogo.
Nina interest naye na natamani kuingia naye kwenye mahusiano, lakini najiuliza:
Je, hii ni red flag au ni kawaida kwa mtu aliyepitia maisha fulani yasiyo na ups and downs?
Inawezekana kubalance mahusiano kama kuna tofauti kubwa ya kipato?
Nifanye nini ili nisiwe naonekana mnyonge au kupoteza heshima yangu?
Nimpotezee mambo yasiwe mengi japo namuona ni mother material?
Sipendi kuingia kwenye mahusiano ambayo nitajikuta najishusha, kutoheshimika au kuumia baadaye, lakini pia naona ana vitu vizuri ambavyo vinanivutia.
Naomba ushauri wenu
Wewe pita nae kwanza hayo mengine utajiuliza mbele ya safariSipendi kuingia kwenye mahusiano ambayo nitajikuta najishusha, kutoheshimika au kuumia baadaye, lakini pia naona ana vitu vizuri ambavyo vinanivutia.
Hapa tunaongelea mambo ya siasa kwa mstakabali wa taifa letu na dunia nzima, wewe unaleta mambo ya ngono hapa. Ebu ukue wewe, yaani wewe akili yako badala ya kuwaza mambo ya maana unafikiri ngono tu. Kweli watanzania tuna kazi ya kuendelea mbele, kama tuna watu wenye akili kama yako.Nyie ndiyo wale mliowekwa na Mwigulu Nchemba hapa JF pamoja na Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Variable choice na wengine mlio katika payroll ya Lumumba ili mchafue hali ya hewa kila mahali. Hatupo hapa kujadili mambo yako ya ngono, kawaulize watu kijijini kwako.Wadau naomba ushauri wenu.
Nimekutana na mwanamke ambaye kiukweli yuko vizuri kifedha kuliko mimi. Tatizo linalonichanganya ni kwamba ana tabia ya kujiangalia yeye tu na wakati mwingine anaonesha dharau kidogo.
Nina interest naye na natamani kuingia naye kwenye mahusiano, lakini najiuliza:
Je, hii ni red flag au ni kawaida kwa mtu aliyepitia maisha fulani yasiyo na ups and downs?
Inawezekana kubalance mahusiano kama kuna tofauti kubwa ya kipato?
Nifanye nini ili nisiwe naonekana mnyonge au kupoteza heshima yangu?
Nimpotezee mambo yasiwe mengi japo namuona ni mother material?
Sipendi kuingia kwenye mahusiano ambayo nitajikuta najishusha, kutoheshimika au kuumia baadaye, lakini pia naona ana vitu vizuri ambavyo vinanivutia.
Naomba ushauri wenu
Mkuu mimi kwa kweli sihitaji akili kama yako kama unaona kila jukwaa unaweza kupost siasa.Hapa tunaongelea mambo ya siasa kwa mstakabali wa taifa letu na dunia nzima, wewe unaleta mambo ya ngono hapa. Ebu ukue wewe, yaani wewe akili yako badala ya kuwaza mambo ya maana unafikiri ngono tu. Kweli watanzania tuna kazi ya kuendelea mbele, kama tuna watu wenye akili kama yako.Nyie ndiyo wale mliowekwa na Mwigulu Nchemba hapa JF pamoja na Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Variable choice na wengine mlio katika payroll ya Lumumba ili mchafue hali ya hewa kila mahali. Hatupo hapa kujadili mambo yako ya ngono, kawaulize watu kijijini kwako.
Sasa huyu ameshasema wa kwake "ana tabia ya kujiangalia yeye tu na wakati mwingine anaonesha dharau kidogo"... isn'nt that a red flag? Submissive providers ni wachache mnooo"Submissive providers" wapo sana tu, japo ni wachache. Huwa ni aina ya wanawake wanaoelewa tafsiri halisi ya kuwa submissive. Kuwa submissive haimaanishi kuwa mtumwa au kutii kilakitu. It simply means being a loyal friend to your husband. Submitting to his leadership when appropriate.
U nailed it😂😂 Niache bana!
Ye atulie dawa imuingie, kila siku humu
tunawaambia hakuna “submissive provider”
Naunga mkono hoja kwa kishindo sanaUkiona mwanamke anakuheshimu kwasababu huyo mwanamke ni maskinj ujue wewe hamna kitu . Mwanaume kamili unapaswa kuheshimiwa na mwanamke anaye jiweza. Kama huyo mwanamke anakuheshimu kwasababu hana kitu maana yake anaigiza , siku akipata maana yake hata kuheshimu tena ,, haya tuambie unaogopa nin kijana
Sasa hapa ni mahali pa kuongelea siasa, wewe unaongelea ngono. Kama huwezi kuposti siasa na mambo yenye akili yanayohusu maisha ya jamii basi tafuta platform nyingine. Unatuaibisha mbele ya jamii yenye akili....Wakenya wanatucheka kwa sababu ya tabia kama zako. Achana na mambo ya ngono, ongea mambo yenye akili yenye kufunza, hapa JF pia kuna vijana wadogo, watoto wetu wenye umri mdogo wanaotaka kujifunza mambo mengi. Sina nia mbaya kukurebisha, ila ungefurahi dada yako anajua unaongea mambo yasiyo na maana.Mkuu mimi kwa kweli sihitaji akili kama yako kama unaona kila jukwaa unaweza kupost siasa.
Sasa mbona kama wewe ndio unateseka 😊Inabidi wanaume wapumbavu kama nyie mfe Ili ibaki species ya wanaume imara wanaojua nini wanafanya.
Kuendelea kuwa na takataka kama wewe ni kuwa na Idadi kubwa ya wanaume wasiokuwq na msaada kiumeni.
Endelea kuteseka.