Nawezaje kuacha kuchukua pesa zao bila kulala nao?

Nawezaje kuacha kuchukua pesa zao bila kulala nao?

uchakavu wa maeneo muhimu ya via vya uzazi kwa mabinti wa umri huo ulionao ni wa kutisha, na inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana.

ni muhimu mno kujihurumia wenyewe na kujifunza kutoka kwa madada wa over 40yrs, ambao walijirajisisha wakiwa na 18's wakachakazwa sana, leo hii hawatamaniki na hawaoleki, waume zao ni toys.

Usiringe sana,
usichague sana, kuna wakati utachujuka na utakosa ladha kama wengine ambao wana stress zisizoisha kwa maringo ya ujanani mwao.

Mungu akubariki, Mungu alouonyesha njia na kweli uolewe 🐒
Amen dear✍🏼
 
Wanawake wote ni malaya, wanatofautiana mbinu tuu

 
Fisi kwenye ubora wako. 🤣🤣🤣 lol
Jamani ata wewe mtani unaniita fisi🤣🤣🤣
Wee bwana mie mane o tuu hela yenyewe ya kuhonga naitoa wapi wakati nataka niingie neshno pale jmosi nione mwarabu anakufa
 
Huna lolote zaidi ya kufanya umalaya... Asante tumesoma tangazo lako...
 
Back
Top Bottom