Nawezaje kuondokana na haya majeraha yanayo niumiza moyo wangu

Lamomy ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ™Œ๐Ÿพ ananifokea mm uku
 
Duuh sijajua wewe umenielewaje madam nilipotumia hilo neno masalia

Nilichomaanisha ni hivi

Pamoja na kuwa dunia imechafukwa watu wana hasi manabii wa uongo wamejaa lakini bado Mungu ameacha Watu wake wamtangaze kwa kweli ya Kimungu yaani pamoja na kujaa utapeli mwingi wa kiimani lakini bado kuna watu Mungu anawatumia watu wanao hubiri injili ya kweli ya Mungu bila kumuhusisha Mungu na ushirikina wowote ndio hao mimi nimetumia neno Masalia
 
Mai dear from another mother yaan tunamjua aliefariki na ambae hakuhudumii so nikauliza sababu ni mada ya Leo nimeshangaa ulisema mtaachana kisa hakujali sasa ya Leo m nimeuliza tu sio ugomvi asee ๐Ÿ’”
 
Mai dear from another mother yaan tunamjua aliefariki na ambae hakuhudumii so nikauliza sababu ni mada ya Leo nimeshangaa ulisema mtaachana kisa hakujali sasa ya Leo m nimeuliza tu sio ugomvi asee ๐Ÿ’”
Hila Hakuna mahali nimemzungumzia huyo ambae hani hudumii madam

Kama ume note hapo kuna mahali nimesema nimepitia changamoto za kuachwa achwa na hao nilioachwa nao ndio nimesema changamoto

Huyo wa miezi 5 fuatilia uzi wake niliuweka nafikirii niliuliza mwanaume anapaswa kukupeleka kwake baada ya muda ganii.. niliokuwa namzungumzia ndio nipo nae kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ