Hao wote wanapigania matumbo yao tuHuyu mbatia sikuhizi kawa nusu nusu kama Mbowe, akitakiwa Ikulu na kwenye shughuli za ccm huwa hachelewi kufika, tayari ameanza unafiki wa undumila kuwili mwache aitwe akajieleze
EhMbatia ni mtumishi wa umma wa ngazi ya juu kwa mda mrefu sana, mwana usalama mbobezi
Upo sahihi kabisa. Nadhani hata CCM ilishafanyaga hivi kama NCCRPale chadema ukitaka kufanya jaribio kama hilo unaweza jikuta unafanana na Chacha Wangwe.
Usimsahau na Wassira.Unajua history ya Nccr?
Hata Tundu Lisu ni Nccr damu!
Hafikuzwi mtu hapa, hizo Ni porojo tu. Atakubali kirahisi hivyo? Selasini amfukuze Mbatia, NeverUnajua history ya Nccr?
Hata Tundu Lisu ni Nccr damu!
Selasini n shida SanaJoseph Selasini aliyekuwa mbunge wa CHADEMA akahamia NCCR Mageuzi Leo anamfukuza Mbatia NCCR!!!!
Ni kawaida sana kwenye siasa, hakuna permanent friendships or permanent enemies, there is only a common interests and conveniences, convenience zikiisha, you pat ways!.Joseph Selasini aliyekuwa mbunge wa CHADEMA akahamia NCCR Mageuzi Leo anamfukuza Mbatia NCCR!!!!
Wewe kwani unahisi nini? Labda kuna kitu unajua utuambieKwanini mpaka leo hamujawaeleza watanzania kisa cha mbowe kufutiwa mashtaka kule mahakamani na tayari alikuwa na kesi ya kujibu lakini alipotoka tu break ya mwanzo akatuwa ikulu bila hata kuonana na famili yake kwanza lakini toka siku ile mbowe tunamuona sasa kawa mtu wa Ikulu muda wote, kwanini hamujawaeleza watanzania nyuma ya pazia kuna nini.,
Tundu lissu aliulizwa akasema aulizwe Mbowe mwenyewe kwanini hadi leo mnataka kuwafanya watu wajinga kwa kiwango hichi?
JUST IN:Mbatia amekuwa anamtukana Sana Rais Samia.Ili kumpunguza nguvu imeamuliwa itengenezwe figisu kumuondoa kwenye uenyekiti.Lakin mwishoni chama kitakufa .Ndio dhumuni kubwa.Ili kumpunguza watu wenye nguvu ya kumusema mama Samia.Joseph Selasini aliyekuwa mbunge wa CHADEMA akahamia NCCR Mageuzi Leo anamfukuza Mbatia NCCR!!!!
Chadema kwani Mbowe ndio mwanzilishi?Sio chakwake. Waanzilishi ni akina Mabere Marando.
Tanzania mtu pekee anayemiliki chama ni Mbowe pekee
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Magufuli alipokuwa akiajisi Chama CCM ilimfanya nini? Au dawa ndio kumuwekea sumu na kusingizia moyo?Toka 2005 mpaka leo ccm imeshabadilisha viongozi watatu. Aliondoka Kikwete, akaja Magufuli. Baada ya Magufuli, amechukua mama Samia. Chadema toka mwaka 2005 hadi leo mwenyekiti ni yule yule, na mpaka leo hakuna matumaini ya demokrasia kutumika kumpata mwenyekiti mungine, cuf, nccr mwendo ni ule ule wa viongozi wa kudumu. Japo nccr wameonesha kuwa washachoshwa na ulaghai wa demokrasia uchwara ndan ya chama, nina imani safari hii watamng'oa iwe kwa njia ya demokrasia au nguvu za chama.
Ni kawaida sana kwenye siasa, hakuna permanent friendships or permanent enemies, there is only a common interests and conveniences, convenience zikiisha, you pat ways!.
P
- Mwanzilishi wa CUF ni James Mapalala akamkaribisha Maalim Seif Sharif Hamad na Prof. Lipumba, wakampindua, wakamfukuza.
- Mwanzilishi wa NCCR Mageuzi ni Mabere Marando, Prince Bagenda na Dr. Masumbuko Lamwai, wakamkaribisha Mrema, akawatimua
- Mwanzilishi wa TLP ni Senator Leo Lekamwa, akamkaribisha Mrema, Mrema akampindua na kumtimua
- Hata Chadema ni Freeman Mbowe aliwaleta Zitto Kabwe na Prof. Kutoka, you know walitaka kumfanya nini Mbowe!.
- The brain behind ACT Wazalendo ni Prof. Kitila, JPM akamkaribisha CCM, baada ya kilichotokea, Mama kashikwa sikio, akaweka pembeni mapema kabisa now on his exit door, 2025 hasimamishwi na CCM, atahamia ACT kisha subirieni what will happen!