Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

infact hatujitii mahangaiko ila tunasikitika kwamba wanaacha kugawa keki ya taifa kwa wote ila wanajipendelea.

by the way hizi trilion 26 nywele au hela???
Hela...na si makamasi....

Keki ya taifa hakuna mtanzania asiyoila.....

Unatumia barabara ambazo hazikujengwa kwa kodi yako tu....hili hulioni ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Unakuta kijana anapambia utafikiri ni mmoja wao, wakati hahitaji kwenda mbali kuuona umaskini, pengine mzazi wake tu huko alipo ni kudra za Mungu tu zinamweka. Huku chawa akijiaminisha pengine anavyowapambania siku moja zamu yake kula utafika, aweze kumuondoa mzazi wake gizani. Wazazi wa wenzake watajijua, maisha kupambana.
 
BWANA amesema tuheshimu MAMLAKA ...wake za viongozi ni mama zetu wa TAIFA....tuna haki ya kuwahudumia ilivyo ainishwa[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
GENERALIZATION...

Hivi idadi ya wake wa hao vigogo iko kiasi gani ?!!!

Acha roho ya husuda....inakuumiza tu nafsi yako [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wewe ni mmojawao, kwako wewe wakiwa wangapi ndo wasipewe hiki tunachosema ni ulafi na ujinga mkubwa wa wasomi wa Kiafica wanaoishia kufikiria matumbo yao kuliko kuwatoa wananchi kwenye umasikini?
 
Aisee kwamba wealth ambayo wamekusanya ktk level mbalimbali za uongozi hadi kufikia Urais bado haziwatoshi wanataka walipwe zaidi na wake zao?

Ndio maana wanataka watufundishe katiba Mpya miaka mitatu.
Wanatudharau sana
Hakuna dharau yoyote ile....

Makasiriko ya nini....ilihali nami pia ni mtanzania na ninaridhia kodi yangu ikatwe tuwatunze mama zetu wa taifa?!!!

Hebu vuta pumzi kwa nguvu na uitoe taratibu KIMIKOGO [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa idadi ya watumishi na wake zao unalinganisha na hao mama zetu wake wa viongozi ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sjui imeandika ktk vitabu vya dini sjui ni msemo wa wahenga mi sio mfuatiliaji sana wa mambo ila kuna msemo mmoja unasema mwenye nacho ataongezewa na yule asie na kitu ata kidgo alichonacho atanyanganywa
 
[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo definition ipo kwenye Katiba sijabuni mimi.
Kama haukupiga kura uliacha haki yako isitende kazi ukawaachia wengine wakuchagulie usiye mtaka.
 
Umaskini wa wazazi wangu hauwezi kuondoka kwa kulipwa ama kutokulipwa hao mama zetu wake wa viongozi....

Kwa hiyo naridhika kodi yangu ikatwe ili taifa liweze kuwahudumia vyema [emoji120]

Karibu Wanzuki hapa ubandani kwa mama Lily Majohe Rada [emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni mmojawao, kwako wewe wakiwa wangapi ndo wasipewe hiki tunachosema ni ulafi na ujinga mkubwa wa wasomi wa Kiafica wanaoishia kufikiria matumbo yao kuliko kuwatoa wananchi kwenye umasikini?
Mimi ni mwananchi wa kawaida ninayeishi kwa "kuhurstle"...siilaumu serikali kwa kipato changu kidogo wala sililaumu dola kwa kuzaliwa familia ya kawaida.....

Nilikwenda shule....nikafundishika kuwa 2+2=si 22....

Ninatanguliza UHALISIA kwa mambo yasiyohitaji HISIA....

Karibu Wanzuki hapa ubandani Majohe G/Mboto[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sjui imeandika ktk vitabu vya dini sjui ni msemo wa wahenga mi sio mfuatiliaji sana wa mambo ila kuna msemo mmoja unasema mwenye nacho ataongezewa na yule asie na kitu ata kidgo alichonacho atanyanganywa
.....tuzitii mamlaka kwa maana zimetoka kwa MUNGU...[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…