All truth23
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 1,215
- 1,401
Dah aisee inaumaa sansHii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.
Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!
Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.
hii comment ime andikwa na mtu ana tumia tecno F1 na si ajabu uka kuta ame type akiwa juu ya mkorosho uko nanjilinjiGENERALIZATION...
Hivi idadi ya wake wa hao vigogo iko kiasi gani ?!!!
Acha roho ya husuda....inakuumiza tu nafsi yako [emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hehheee we ushakata tamaa umeona bora liende tu.Hakuna dharau yoyote ile....
Makasiriko ya nini....ilihali nami pia ni mtanzania na ninaridhia kodi yangu ikatwe tuwatunze mama zetu wa taifa?!!!
Hebu vuta pumzi kwa nguvu na uitoe taratibu KIMIKOGO [emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwani hao wenza wanajitolea kufanya kazi,hawalipwi?Kama ni hivyo basi kila mtumishi wa serikali akifa mwenza basi aliyebaki awe analipwa.GENERALIZATION...
Hivi idadi ya wake wa hao vigogo iko kiasi gani ?!!!
Acha roho ya husuda....inakuumiza tu nafsi yako [emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wabunge wetu ni wajinga sana kama watz tuna akili wabunge hawa wa CCM wote hapaswi kurudi tena mjengoni watafute kazi nyingineHii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.
Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!
Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.
DP World TRILLION 26 wanaitolea wapi?....hata wakilipwa sawa na rais aliyepo haiumizi HAZINA ya taifa....
Mwakani DP WORLD watakuwa wanatuchangia TRILIONI 26 kila "fiscal year"....ni pesa nyingi mnoooo [emoji106]
Usijitie hamaniko kwa hivyo vitu vidogo[emoji120]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Siyo roho mbaya ni ujinga sisi watoto wetu wanakufa kwa magonjwa yanayotobika kwa kukosa bima ati bunge letu linapitisha sheria za hivyo hivi,watumishi wanapigwa kwa vikokotoo sasa nani mwenye roho mbaya kama siyo hao wajinga walioko bungeni?GENERALIZATION...
Hivi idadi ya wake wa hao vigogo iko kiasi gani ?!!!
Acha roho ya husuda....inakuumiza tu nafsi yako [emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
.....tuzitii mamlaka kwa maana zimetoka kwa MUNGU...[emoji120]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kama kashindwa kuleta Maridhiano na Chama kikuu cha upinzani CHADEMA na sasa anapuuza hitaji la Katiba mpya na kaenda mbali kuita katiba ni kitabu tu.Sasa iyo 4R si ni upuuzi tu!Watanzania wengi tumezowea kuendeshwa kimazowea, bado hatuielewi maana kamili ya falsafa ya R 4 za uongozi wa serikali ya sasa hivi,
Naelewa kuna Reforms na Rebuilding kwenye mashirika na taasisi zote za Kiserikali kwa hiyo mabadiliko tuyategemee, sishangai.
Soma zaidi: RRRR ya Rais Samia Watanzania wengi wanaoishi kimazoea hawatoielewa haraka
Jumu duiiajinkila mtu anapambana kuwa na kitu na hakuna anayekujali pambana na wewe uwe mke wa kigogo au uwe kigogo na mkeo alipwe mshahara..Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini.
Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!!
Kuna saa ukifikiri sana unaweza hisi tuna laana lakini akili za wasomi wetu kuna saa wanakuwa kama wajinga na wasio weza kufikiri.
Hivi farao ni mamlaka iliyotoka kwa nan????.....tuzitii mamlaka kwa maana zimetoka kwa MUNGU...[emoji120]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kuna kipindi ilikuwa ni Haki mtu kumiliki mtumwa kisheria na ilikuwa ni sawa (tangia enzi na enzi) lakini haimaanishi kwamba kila mtu alikubaliana nayo... Kuna Sheria za Nchi na Jamii na kuna Rules na Principles Binafsi (Miongozi yangu) na hio hakuna wa kunipangia - Kwahio kinachowekwa mezani na wale Overpaid, Under-performing Primadonas havina baraka zangu....Hiyo definition ipo kwenye Katiba sijabuni mimi.
Kama haukupiga kura uliacha haki yako isitende kazi ukawaachia wengine wakuchagulie usiye mtaka.
Chawa hivi unadhani kwa uchache wake ni penseni yao kwa mwaka itakua sawa na ya mwalimu au mtumishi yeyote wa umma??GENERALIZATION...
Hivi idadi ya wake wa hao vigogo iko kiasi gani ?!!!
Acha roho ya husuda....inakuumiza tu nafsi yako [emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wanalipwa kwa lipi wapumbav hawa wakati hawakuwa hata watumishi wa umma!!!! Mama Salima alishalipwa mafao yake ya ualimu tena bila kikokotoo,vivyo hivyo na mama Janet bila kikokotoo halafu wanataka tena mafao ya kulala kitanda kimoja na Marais wastaafu.!!!Only in Tz...shoo wapige wao,wa enjoy wao,wazae watoto wao na halafu tuwalipe sisi kwa Kodi zetu!!!!!Kiazi ata wawe wawili awastahili kulipwa kodi zetu
yeye na wewe wote mnatumia barabara,kwanini anaomba kulipwa kwa kuwa mke wa kiongozi!!!Hela...na si makamasi....
Keki ya taifa hakuna mtanzania asiyoila.....
Unatumia barabara ambazo hazikujengwa kwa kodi yako tu....hili hulioni ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nimependa sana mstari wa mwisho kwenye comment yako! Big up kwa uandishi uliotukukaChawa hivi unadhani kwa uchache wake ni penseni yao kwa mwaka itakua sawa na ya mwalimu au mtumishi yeyote wa umma??
Ushafikiria idadi hiyo itaongezeka kila mda unavyozidi??
Ewe chawa unaweza kuweka wazi faida yake ni nn??
Ewe chawa amukmako lete majibu basi