Nchi za Afrika zagawanyika katika upigaji kura kuhusiana na Vita vya Russia na Ukraine, Tanzania yachagua kutofungamana na upande wowote

to abstain maana yake imebaki neutral, haipo upande wowote, yaani haikupiga kura.
Kubaki neutral ni kutokupiga kura kabisa; ukishapiga kura halafu kura yako ikawa ya kukubali pande zote, hiyo ni kukosa wa decisiveness, yaani kufuata upepo kokote utakapoenda na lengo lake kubwa huwa ni kukwamisha uamuzi kimya kimya.

Angalia: kwenye mkutano wenye wajumbe 19 unaotambua quoruma ya wajumbe 15, iwapo jambo linatakiwa liamuliwa kwa simple majority (51%) , ikatokea wajumbe 8 wakasema ndiyo, wajumbe 7 wakasema hapana, na wengine 4 wakasema kotekote (kama tanzania), mkutano huo hautapitisha uamuzi wowote kwa vile simple majority ya quorum haitapatikana, kwani wale wa ndiyo watakuwa ni 42%, wa hapana ni 36% na hao wa kotekote ni 26% kwa hiyo simple majority haitapatikana. Iwapo wale waliopiga kotekote wasingepiga kura kabisa, basi wale wa ndiyo wangekuwa 53% na wale wa hapana wangekuwa 47% na uamuzi ungepitishwa.

Kwa nini tupelekea mtu atuwakilishe kwenye mkutano halafu asiwe na msimamo?
 
Sera yetu kuhusu mambo ya nje na msimamo wetu huwa ni kutofungamana na upande wowote. Hiyo ni tangu tupate uhuru 1961. Rudi darasani kajifunze upya. inaonekana wewe hujui lolote!

Hapana. Kenya hatoi fundisho lolote hapa, bali anazo sababu maalum za kufanya hivyo, sababu ambazo sidhani kuwa zinampa heshima ya kuwa "mtoa fundisho".
Kenya anamgogoro wa mpaka na Somalia, ambao anatishia vita pamoja na kwamba mahakama ya kimataifa ilitoa uamzi juu ya swala hilo.

Na kenya huyo huyo alishapeleka majeshi yake Somalia enzi za Kibaki; na hadi leo wapo huko huko.
Uwepo wa majeshi ya Kenya na Uganda huko Somalia ni tofauti kabisa na hili na Ukraine na Urusi. Haya yapo kule Somalia kwa umbrella ya AU; urusi amekwenda Ukraine kwa kutaka kuitawala Ukraine na kuinyang'anya sovereignty yake.

Mgogoro wa Kenya na Somali kwenye bahari ya hindi haufanani na huu kabisa. Kenya na Somalia wanabishania mpaka wa majini na kuna tume ya usuluhishi inashughulikia mgogoro huo. Urusi haina mgogoro wowote wa mpaka na ukraine, bali tu haipendi serikali ya ukraine iliyochaguliwa na watu na inataka kuiondoa kabisa serikali ili kusudi iweke ya kwake.
 
Sera yetu kuhusu mambo ya nje na msimamo wetu huwa ni kutofungamana na upande wowote. Hiyo ni tangu tupate uhuru 1961. Rudi darasani kajifunze upya. inaonekana wewe hujui lolote!
Umesoma darasa la chini ya mti kwani hata hujui maana ya sera ya kutofungamana na upande wowote na vile vile hujui ni wanachama gani wa movement hiyo! Inawezekana umesoma miaka ya hii ya 2000 tu wakati cold war imekwisha na hujui maana ya neno "upande" kwenye hiyo sera. Napenda nikukumbushe jinsi Tanzania ilivyopiga kura wakati US inaivamia Iraq, tena angalu US ilipeleka kesi yake mbele ya umoja wa mataifa kuliko huyu aliyejiamulia binafsi.
1646331052196.png

Angalia list ya wanachama wa non-alignend movement halafu linganisha na jinsi walivyopiga kura hiyo ndipo ujue Tanzania tumetumia nafasi yetu vibaya.

1646330502310.png
 
Fikiri kwa kutumia kichwa kinachotumiwa na wengi. Na mtu yeyote ambaye akili haifanyi kazi huwa anabweka kama wewe.

View attachment 2137827

Angalia list ya wanachama wa non-alignend movement halafu linganisha na jinsi walivyopiga kura hiyo ndipo ujue Tanzania tumetumia nafasi yetu vibaya.

View attachment 2137819
 
Ninasupport kwa nchi yetu kuabstain... kwenye mambo haya sisi hayatuhusu...
 
Fikiri kwa kutumia kichwa kinachotumiwa na wengi. Na mtu yeyote ambaye akili haifanyi kazi huwa anabweka kama wewe.
Maneno unayotumia yanonyesha ufinyu wa akili yako. In fact nimepitia posts za nyuma naona umeshajibiwa na wengi kuwa hujui maana ya non-alignment movement. Iwapo Mkapa alipinga kuwa USA isiishambulie Iraq, kwa nini leo Samia asipinge kuwa Urusi Ukraine? Una maana mwaka 2002 tulikuwa tuko aligned against upande wa USA lakini leo hatuko aligned na upande wowote?
 
Tanzania 🇹🇿 tumepata watalii wengi sana huko Zanzibar wa Russia ndiyo sababu kubwa hapa.
Wale watalii hawaletwi na serikali ya Urusi; wanajileta wao wenyewe wakijua kuwa wako salama kokote duniani. hawatakuja tena kwa muda mrefu ujao kutokana na uvamizi huu wanajiona wanatengwa na dunia yote.
 
Non-Alignment Movement (NAM).

Tanzania ni mwanachama wa NAM, yaani nchi zisizoegemea upande wowote kati ya Ujamaa wa Mashariki na Ubepari wa Magharibi.

Kwa hiyo Tanzania kukataa kupiga kura ni sehemu ya utekelezaji wa malengo ya NAM
Sisi hatukuwa wajamaa tokea tukiwa NAM?

Kama siyo unafiki, kwanini tulikuwa wajamaa halafu tena tuwe NAM?
 
Umesoma darasa la chini ya mti kwani hata hujui maana ya sera ya kutofungamana na upande wowote na vile vile hujui ni wanachama gani wa movement hiyo! Inawezekana umesoma miaka ya hii ya 2000 tu wakati cold war imekwisha na hujui maana ya neno "upande" kwenye hiyo sera. Napenda nikukumbushe jinsi Tanzania ilivyopiga kura wakati US inaivamia Iraq, tena angalu US ilipeleka kesi yake mbele ya umoja wa mataifa kuliko huyu aliyejiamulia binafsi.
View attachment 2137827

Angalia list ya wanachama wa non-alignend movement halafu linganisha na jinsi walivyopiga kura hiyo ndipo ujue Tanzania tumetumia nafasi yetu vibaya.

View attachment 2137819
Mimi naunga mkono kutokujihisisha na huu mgogoro na hii ni tofauti na sababu za msingi za Kiuchumi
Hawa wazungu hawachukui mawazo yetu sana sana hututumia tu kwa unafiki wa kujaza Kura.
Mbona walivyo piga Iraki, Libiya nk Hawakutusikiliza Leo ndio wanaleta unafiki wakutaka mawazo yetu ambayo hata hawayafuati? Au Mbona Palestinian wanauwa kila siku Nchini kwao ila hawaingilii?
NINGETAMANI NCHI ZOTE ZA AFRIKA SIZIPIGE KURA ILI WAJUE TUMECHOKA UNAFIKI!!!!!
 
Mimi naunga mkono kutokujihisisha na huu mgogoro
Yaani hawa wazungu hawachukui mawazo yetu sana sana hututumia tu kwa unafiki wa kujaza Kura.
Mbona walivyo piga Iraki, Libiya nk Hawakutusikiliza Leo ndio wanaleta unafiki wakutaka mawazo yetu ambayo hata hawayafuati???
NINGETAMANI NCHI ZOTE ZA AFRIKA SIZIPIGE KURA ILI WAJUE TUMECHOKA DHARAU!!!!!
Siyo kwamba hatukujihusisha. Tumejihusisha kwa kuweka msimamo wwetu kuwa tunakubalia na upande wowote ule; jambo ambalo ni reflection ya wekaness na indecisiveness. Ni Afdhali tusingepiga kura kabisa, tunegkuwa hakujihusisha, lakini kwa kupiga kura tumejihusisha, hilo halikwepeki. Kuna nchi ambazo hazikupiga kura kabisa, ni afdhali tungekuwa kwenye kundi hilo.
 
Back
Top Bottom