Ndani ya miezi 18 Rais Samia kakopa zaidi ya Trilioni 20

"Tutembeze bakuli ndio heshima, tukishakopa tunapiga makofi, sisi wa kukopa kila siku. Tukasema pitisha tozo anayetaka asiye taka pitisha tozo, lazima tuanze kujenga wenyewe, nani atatufanyia, yuko wapi huyo mjomba, tukapitisha"
Taja Nchi isiyokopa ili nifunge account humu jf
 
Mlikotoa hizo taarifa ndiko katoeni na za riba ,acha ufala kima jike wewe.
Utapanic sana na bado!

Leta takwimu hapa tuone kama kweli hilo deni la mamko ni pamoja na riba za Magufuli!

Vinginevyo endelea kuwaramba mat. Akle hao vi9ngzoi wako wabovu
 
"Tutembeze bakuli ndio heshima, tukishakopa tunapiga makofi, sisi wa kukopa kila siku. Tukasema pitisha tozo anayetaka asiye taka pitisha tozo, lazima tuanze kujenga wenyewe, nani atatufanyia, yuko wapi huyo mjomba, tukapitisha"
Alafu tunakopa na huku tunaongeza matozo!

Hawa watu hovyo kabisa
 
Utapanic sana na bado!

Leta takwimu hapa tuone kama kweli hilo deni la mamko ni pamoja na riba za Magufuli!

Vinginevyo endelea kuwaramba mat. Akle hao vi9ngzoi wako wabovu
Wewe fala nipanic kwa ajili ya Nini hasa? Naongea kitu ambacho Nina ushahidi nacho..

Soma haya maelezo ya serikali hapa chini kuhusu kuongezeka kwa Deni ujione ulivyo dishiπŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221117-123433.png
    126.9 KB · Views: 2
Wewe fala nipanic kwa ajili ya Nini hasa? Naongea kitu ambacho Nina ushahidi nacho..

Soma haya maelezo ya serikali hapa chini kuhusu kuongezeka kwa Deni ujione ulivyo dishi[emoji116]
Wewe ni pumbavu!

Tunaongelea habari ya nani kakopa nini na kwa wakati gani,

Kwa hiyo hii ngonjera yako uliyoweka hapa inafanya Samia awe hajakopa til 20?

Kwa mtazamo wako basi Magufuli nae hilo deni lake ni pamoja na la mkapa pamoja na Kikwete?

Mbirikimo wa akili we!
 
Siziamini hizi hesabu.

Deni la zaidi ya Trln 70 limetoka wapi sasa kama hesabu ndo hizo?
 
Nchi inaingizwa utumwani kinguvu,na hatuchmoi kwenye hayo madeni
 
Ndio ynakwambia wewe msukule uliondolewa akili kwa kuehikishwa ukuta na Mwendazake..

Narudia kukuambia swala la ukubwa wa Deni halitokani na mikopo mipya tuu Bali riba zikizoiva za mikopo ya zamani hasa ya yule taahira Mwendazake aliyekopa mikopo minginya kibiashara yenye riba kubwa ndio imekuza Sana Deni..

Swala la Nani kakopa kiasi gani kwa kipindi gani hakuna mchanganuo kutoka vyanzo rasmi.
 

Yani uku mtaani kulikuwa na maneno ya chini chini kuwa bora raisi dictator na mwizi ila maendeleoya bla bla hamna

Kila mtu alikuw anaona tukiambiwa kituo cha mabasi tutajenga tumekiona

Tukiambiwa daraja la Ubungo tutajenga
Tumeona

Wakazi wa Dar kama kuna hadha ya foleni basi ubungo.

Thanks kwa muenda zake anakupa ela alafu anazifatilia

Leo wakui wamikoa na wabunge kazi kuna nadi tu wamepew pesa.
 
Huyu mamako hamna kitu kabisa!

Yeye akisikia tu kuna hela huku huyooo kiguu na njia kuzifuata.

Bora wenzake walikopa bila kuongeza matozo na makodi ya hovyo ambayo yameongeza mzigo kwa mwannachi..

Misukule yake mko humu mnashnagilia tu. Endelea tu mtaolewa wote wajinga nyie si mnapenda hela?
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

Huyu mamako hamna kitu baada ya Kukosa hoja..

Baba yako wa propaganda yalimshinda haya πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221115-145046.png
    178.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20221112-102208.png
    185.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20221109-080306.png
    264.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20221109-080136.png
    126.4 KB · Views: 3
Ukiona Taifa lenye kila resources halafu linakopa hivyo ujue kuna serious problems kwenye maeneo mawili makubwa. 1.Taifa halina maono (Strategic planning) 2.Viongozi wake ni maskini wa fikra au vipofu.
"Aliye na kitu atapewa na kuongezewa Tele, ila asiye na kitu atanyang'anywa hata kile anachodhaniwa kuwa nacho".
 
Kuna msaada wa masharti nafuu umetolewa na German tena uko
Baada ya makubaliano
 
Ivi haya masharti nafuu ni yapi?
Hayo hatuambuwagii na mwandishi alimuuliza Mwigulu hilo swalii akajibu kwa mifano ilokuwa inatoa nje ya mada (sijui wazee zamani walipanda mbegu kwa kurusharusha tuu ila siku hizi kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi yakupasa kuandaa shamba.......)
Ila alivyosema yeye pesa imetoka baada ya majadiliano na makubaliano

TUOMBE UZIMA
 

Hizi zako ulizoweka zina evidence gani? Zinatoka BOT? Mbona hatuoni webpage ya bot hapa?

We nae una unyafuzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…