Bak byzo I.T
JF-Expert Member
- Jun 29, 2014
- 266
- 125
Kimeumana.Lumumba vs Lumumba
Kila siku wakikopa wanatanga huku watu wanajumlisha. Acha upopoma arifTakwimu zake kazitoa wapi au anafanya uzushi usio na msingi?
Aweke takwimu kutoka BoT na Wizara sio kutunga ujinga ujinga..
Pili kwani kukopa Kuna shida ipi ikiwa zinakopwa na kurudishwa? Huko Mtaani kwenu hakuna taasisi za kukopesha?
Mwisho takwimu sahihi Hadi awamu ya 5 ni hizi hapa 👇
Kama kwa Mwaka moja na nusu anakopa teilion 20 Ina maana baada ya miaka 10 atakuwa amekopa zaidi ya trillion 120+Pole Sana Hadi sasa Tanzania Ina mikopo ya Til.80 Kama ulikuwa hujui..
Mkopo unapimwa against GDP so kwa Kipimo hicho tuna GDP ya Dola Bil.72 sawa na Til.144 hivi so bado Yuko nyuma ya redline.
Wazungu wana sema mother fakaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ...watz huo msemo unatuhusuMartin Maranja Masese ameandika kwenye twitter page yake kuwa "Awamu ya 3 ilikopa $9bn (Sh20.982 trilioni) miaka 10 Awamu ya 4 ilikopa $7bn (Sh16.320 trilioni) miaka 10 Awamu ya 5 ilikopa $9bn (Sh20.982 trilioni) miaka 6 Awamu ya 6 imekopa $8.7bn (Sh20.283 trilioni) miezi 18 “Mama Yuko Kazini Modern Taarab” mmekopa mifweza kupeleka wapi?"
View attachment 2419276
Kama ni kweli hizo pesa zinaenda wapi ilhali matatizo lukuki ya mahitaji muhimu yanazidi kushamiri kila uchwao?!
Aisee!
Ni sawa kwani Uchumi unasimama kwamba Serikali inashindwa kulipa?Kama kwa Mwaka moja na nusu anakopa teilion 20 Ina maana baada ya miaka 10 atakuwa amekopa zaidi ya trillion 120+
Vipi hapi utakuwa bado Uko nyuma ya red line?
Wewe ndio popoma,tuoneshe walipojumlisha.Kila siku wakikopa wanatanga huku watu wanajumlisha. Acha upopoma arif
Rais hakopi Bali Nchi ndio inakopa so hakunaga kumuwajibisha yeye binafsi maana sio Pesa za kibinafsi hizo..Point taken.
Ni Kweli sa100 analipa pia mikopo na riba za watangulizi na alizokopa Yeye. Pesa hizo ndo zinasababisha deni kuongezeka.
Swali ndugu mchumi:
Hadi sasa Sa100, amekopa Trilioni ngapi ye kama Yeye tumuwajibishe Kwa mikopo yake binafsi?
wewe Fallacy ni fala kweli kweli! Hivi huwa unafanya kazi gani maana kila mda upo active unaparurana na watu huku na kule! Wewe hakika ni hayawani usiyejitambua ni wakuonea huruma tu! Watu wana changia mambo makubwa juu ya ukopaji wa serkali ya Samia wewe umeshupaza shingo!Wewe ndio popoma,tuoneshe walipojumlisha.
Siwezi kubishana na mwimba mapambio amabe hata hulipwiWewe ndio popoma,tuoneshe walipojumlisha.
Wajinga kama hawa si wa kubishana nao. Kazi zao ni kuimba mapambio.wewe Fallacy ni fala kweli kweli! Hivi huwa unafanya kazi gani maana kila mda upo active unaparurana na watu huku na kule! Wewe hakika ni hayawani usiyejitambua ni wakuonea huruma tu! Watu wana changia mambo makubwa juu ya ukopaji wa serkali ya Samia wewe umeshupaza shingo!