Ndege ya Rais yaonekana Dubai, Saudi Arabia

Mwafrika ni Mwafrika tu....Hajawahi kujitambua 🚮🚮🚮
 
Hata alivyokwenda Kenya kwa kujificha kuna watu walisema ndege imeenda Kenya na baadhi ya picha kuonyeshwa, imekuja kuthibishwa baada ya alioenda kukutana nao kumuumbua. Sasa tena ametoroka kaenda bila taarifa tutayajua baada ya dili atakalosaini huko kubainika.
 

Haya mambo ya teklnolojia yaumbua watu, maana hamna sehemu ya kujificha.

Kama ni kweli mamlaka husika ituambie Rais alienda kufanya nini huko, au kama ni mjumbe waka alipewa kutumia hiyo ndege tujulishwe alienda kufanya nini. Wakinyamaza, basi tutasema ni mambo ya bandari tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…