Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
ni kweli vifaa vipo ila tatizo halibishi hodi mkuuNi marufuku kwa uwanja wa ndege kukosa umeme yatakiwa kuwa na kitu chaitwa "resillience".
Umeme ukikatwa mara kwa mara kwanza waharibu operations za uwanjani kuanzia nje hdai ndani kwenye kuscan.
Yaani umeme ukirudi shughuli kama za scanning yabidi kurudiwa.
Viwanja vyetu vya kimataifa vyahitaji umeme ulo imara usokatika mara kwa mara.