Ndiyo kusema Tanzania imejiunga kwenye Umoja wa Nchi za Kiarabu kimya kimya?

Zile zilizoandikwa kichina, kizungu vipi umepata jibu lake.
 
Hichi kibibi kinajikuta kina undugu na waarabu
 
Yaan wasiokuwa waislam wanaumia wakisikia warabu wakijua ndo washatekwa hpn uislam ndo niia sahihi itakayomuongoza mwanadam kufikia malengo bila ya madhara yeyote yaan,au ulitaka aende Israel eeeh!
 
Miaka 61 tangu uhuru,hakuna schemes za maana umwagiliaji,hatujitoshelezi mbolea..zaidi ya porojo siasa ni kilimo,kilimo Cha kufa na kupona nk...tumeshindwa,tunahitaji pesa toka nje(fdi) ili kujongea
Kwa hiyo FDI ndiyo itakayoleta maendeleo? Hivi huelewi kwamba miaka yote tumekuwa tukipata hizo zinazoitwa fdi, sasa nionyeshe maendeleo tuliyoyapata kutoka na hizo!

Katika 'statement' yako hapo juu, hivi huoni tatizo linapoanzia na kuishia?
Kweli hujui kwa nini katika miaka yote 61 hatujaweza kubadili kwa kiasi kikubwa hali zetu za maisha, hujui; ila unasubiri FDI kwa matumaini makubwa ya kuwaletea maendeleo waTanzania?

Ninajua mara nyingi tunagonganisha vichwa hapa JF, kati yako na mimi, lakini kama hata hili huwezi kujuwa matatizo yetu yapo wapi, nitakushangaa sana.
 
Inaelekea hujui fdi ni nini...laa Kama wajua basi mbona argument yako ni invalid (not tautology)
 
Wazanzibar wanakitu inaitwa Stockholm Syndrome "hii huwapata wale wanaopenda mtu anaewanyanyasa"

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Yaani unafikiria mambo ya kijinga jinga jinga jingaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa !
 
EeeenHeeeee! Mimi nisijue, halafu wewe ujue, si yatakuwa maajabu hayo?
Tigo,Airtel,Vodacom,SBC, coca-cola,tbl,Serengeti nk ni fdi,imeajiri watz,wanasomesha,wanajenga,serikali inapata Kodi,Leo watz kumiliki vyombo vya moto,nyumba nzuri,biashara kubwa ni kawaida,miaka ya 90 vyombo vya moto vilikua kwa waasia na serikali,baada ya kutengeneza mazingira ya kuvutia wawekezaji,wakaja(fdi)..watz wakapata ajira na mishahara ya kurudhisha,multiplier effect ikafanya kazi,uchumi ukatoka chini tulikokua mpaka uchumi wa kati,tusingevutia fdi tusingekua hapa Leo...kilimo Cha kufa na kupona,ambacho kiliajiri zaidi 75% kisingetufikisha hapa
EeeenHeeeee! Mimi nisijue, halafu wewe ujue, si yatakuwa maajabu hayo?
 
Bidhaa huingizwa na wafanya biashara sio serikali
Kununua bidhaa Emirates/Dubai na Qatar ni rahisi kupata bidhaa toka kila sehemu duniani
Usafiri ni mfupi na rahisi kuliko kununua bidhaa hizo Marekani, Ulaya na Mashariki ya mbali
Siku hizi hata Israel hufanya shopping Dubai
 
Ebana mi siyo mtoto mdogo, angalia maeneo ambayo wanaishi waarabu, wahindi na wachina(Tabora, Singida, Tanga, shinyanga, Kigoma n.k) yamejaa mafukara wa kutupwa.
 
Udini ndo unaokutesa..
Kuna nchi imepitia mauaji ya kutisha kushinda Rwanda??!!
Tena yalichochewa na Mapadri wa Katoliki.
Mauaji ya Liberia je?
Yanayoendelea DRC je?
Huko nako ni Waislamu?
Kwani Rwanda hakuna Waislam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…