Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

Huo mda wa kuja kufaidisha kiwanda cha AZUMA ni saa ngapi. Mara unajisikia kukojoa kaa la moto, mara usaha.
Unakojoa motrooooo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tulia na mmoja inatosha..
Mbona nyie ni wabishi na yule drone...😂😂😂😂 Hovyo sana
 
Bado sana mkuu,hapo ndio kwanza uko kwenye 0.001% ya kero za ndoa,piga maombi sana itakusaidia....
 
Wewe itakua ni Meku "motrooo" any way usidanyike upo mwenyewe hata hapo ulipo kuna jamaa anakumegea kama unavyomega wa wengine... we huwezi tulia na mmoja. 2Brains
 
.....hana mimba ? Ndoa ni taasisi ...uvumilivu na kumsaidia kumeulimisha sasa muda atakuwa sawaa
 
Hapa umemaliza kila kitu,mwenye kusikia na asikie...
 
Ukiona wazazi wa bi harusi wanasherehekea na kucheza siku ya harusi basi ujue wamefurahi msumbufu anaenda.
 
Yani mtu anune na kukasirika bila sababu? Zipo sababu labda humjali ndio maana
Yani sidhani kama kuna mwanamke utamkuta hana sifa namba moja na namba mbili….ni ngumu sana na wanawake wengi wana nuna ili kubembelezwa ..huyo anataka kudekezwa …huyo mbembeleze mchombeze mpe attention yako onesha unajali …mbembe hivyo hivyo akiwa amenuna mpeleke chumbani mpapase hadi alegee halafu mpeeee….mkunyengeeeee….
Hana shida huyo anataka kudekezwa…uwe unamletea hata zawadi …..
 
sikia ndoa sio lelemama,fahamu panapotokea tatizo,baina ya watu 2 ni lazima hao wote wawili wamechangia,mnatofautia ukubwa wa mchango kwenye huo mgogoro,hivyo hayo unayoyaeleza,ni lazima wewe pia kuna kitu umechangia,sasa ndoa inataka uvumilivu na kuongea kuhusu hayo mayatizo yenu,ongea nae na mtapata ufumbuzi.kwa ushauri mzuri njoo inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…