Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

Me ndio mana wanawake wananishindaga, yan ku bow kwa mtu kama kosa sijafanya mimi aisee haiwezekan, hakuna kitu sipend kama kukisia huyu kakasirika au kabadilika au kanuna kwasababu sijui kwasababu ya kitu gani, naona kama ni kupoteza muda bora mtu mkweli na alie straight.. nikikuuliza once kama sielew wala sijisumbui wanawake wapo tooop na wengi tu waelewa.
Unatupa kule unakamata mubebi mwengine?
 
Bado hujasema Mkuu! Subiri mwaka mmoja ndo utagundua ndoa ni kujipiga password ya maisha!
 
Labda atumie kanuni ya oa acha oa acha hadi atakapompata mkamilifu

Na huyu ni Friedrich Nietzsche akisubiria mwanamke mkamulifu....
images (3).jpeg
 
Sasa hapo ndipo zoezi la kuishi nae kwa akili linapoanzia. Tumia mamlaka ya kijeshi uliyopewa na mwenyezi MUNGU hapo wewe ndie amiri jeshi mkuu. Unachotaka ndio kiwe na ndio kiwepo.

Acha kucheka cheka na nyani utavua mabua. Piga biti moja hadi tumbo limchafuke aendeshe kidogo. Ukiendekeza hupo upuuzi huyo freemason atakuja kukuharibia watoto na familia yako baade. Wana anzaga ufala wao kidogo kidogo hivyo hivyo akiona hautikisiki ataanza kutombwa nje ili akuonyeshe namna ulivyo legelege na dhaifu kwake.
 
Unatupa kule unakamata mubebi mwengine?
Yan sisi wanaume sometimes hatuna akili, mwanamke anaekutaka humtaki unaemtaka anajifanya yeye ana watu wengi kwenye queue, alafu anakuonyesha redflags za kutosha we unajifanya unakomaa, ndio mana sikuiz watu wanaoana leo kesho wanaachana. For the same reason ndio mana kuna masingo maza wakutosha sikuiz
 
Yan sisi wanaume sometimes hatuna akili, mwanamke anaekutaka humtaki unaemtaka anajifanya yeye ana watu wengi kwenye queue, alafu anakuonyesha redflags za kutosha we unajifanya unakomaa, ndio mana sikuiz watu wanaoana leo kesho wanaachana. For the same reason ndio mana kuna masingo maza wakutosha sikuizI
Kabla ya kuoa watu hutumia hisia zaidi na moyo instead ya kutegemea Logic gates za ubongo zifanye kazi. Unajua kabisa kwamba huyu ananipendea huduma ila hayupo real na wewe ila sababu una vihela vya rushwa vya TPA unaona huyu namuweza tu. Mara Paap DP World hawa hapa shughuli hamna tena ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hio furaha utaipata wapi na iphone 16 hainunuliki wala vacation za Dubai haziendeki???
 
Anakimbiaje majukumu mapema hivyo?๐Ÿ˜…
Aisee, kwa red flags hizo he should run for hiz life ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..huwez kununa na kukasirika bila sababu ya msingi, hayo yanayokusibu hayawez kujisolve ukinuna na kukasirika, sema usikike tujue tunasolve vipi, hakuna jambo linalofanyika dunia ya leo lisilokuwa na solution .
 
Yan sisi wanaume sometimes hatuna akili, mwanamke anaekutaka humtaki unaemtaka anajifanya yeye ana watu wengi kwenye queue, alafu anakuonyesha redflags za kutosha we unajifanya unakomaa, ndio mana sikuiz watu wanaoana leo kesho wanaachana. For the same reason ndio mana kuna masingo maza wakutosha sikuiz
Elimu ya mahusiano hakuna kizazi sasa watu utaka waishi kama masingle wakiwa kwenye ndoa kumbe ndoa ni kanuni
 
Back
Top Bottom