Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

Mbona hayo yote ni kawaida subiri phase two ndo utajue wanawake ni nini, rafiki yangu hu ni mwezi wa pili analala kwenye gari lake ila ndoa yake in miaka 4, hapo kwako hiyo inaitwa cooling break mechi bado kabisa.......
Bado kabisa 🤣 🤣 🤣
 
Mzee jikague! Mkojoze vyema hiyo ndiyo dawa kubwa ya kisirani na kununa.
 
Hizi tabia ni wanawake wengi wanazitumia kama silaha kuadhibu waume wao bila kujua zinafanya ndoa zivunjike mapema sana.
 
Komaa TU na goma lako kama nasi tunavyokomaa na misalaba yetu mizito na sio huo wa kitoto.
 
Mkataba ni mwaka mwaka😂 vumilia miezi 11 iliobakia hio ndio ujue kama unaacha kazi ya kuwa mume au unaendelea nayo!
 
Me ndio mana wanawake wananishindaga, yan ku bow kwa mtu kama kosa sijafanya mimi aisee haiwezekan, hakuna kitu sipend kama kukisia huyu kakasirika au kabadilika au kanuna kwasababu sijui kwasababu ya kitu gani, naona kama ni kupoteza muda bora mtu mkweli na alie straight.. nikikuuliza once kama sielew wala sijisumbui wanawake wapo tooop na wengi tu waelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…