Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

Unatupa kule unakamata mubebi mwengine?
 
Bado hujasema Mkuu! Subiri mwaka mmoja ndo utagundua ndoa ni kujipiga password ya maisha!
 
Sasa hapo ndipo zoezi la kuishi nae kwa akili linapoanzia. Tumia mamlaka ya kijeshi uliyopewa na mwenyezi MUNGU hapo wewe ndie amiri jeshi mkuu. Unachotaka ndio kiwe na ndio kiwepo.

Acha kucheka cheka na nyani utavua mabua. Piga biti moja hadi tumbo limchafuke aendeshe kidogo. Ukiendekeza hupo upuuzi huyo freemason atakuja kukuharibia watoto na familia yako baade. Wana anzaga ufala wao kidogo kidogo hivyo hivyo akiona hautikisiki ataanza kutombwa nje ili akuonyeshe namna ulivyo legelege na dhaifu kwake.
 
Unatupa kule unakamata mubebi mwengine?
Yan sisi wanaume sometimes hatuna akili, mwanamke anaekutaka humtaki unaemtaka anajifanya yeye ana watu wengi kwenye queue, alafu anakuonyesha redflags za kutosha we unajifanya unakomaa, ndio mana sikuiz watu wanaoana leo kesho wanaachana. For the same reason ndio mana kuna masingo maza wakutosha sikuiz
 
Kabla ya kuoa watu hutumia hisia zaidi na moyo instead ya kutegemea Logic gates za ubongo zifanye kazi. Unajua kabisa kwamba huyu ananipendea huduma ila hayupo real na wewe ila sababu una vihela vya rushwa vya TPA unaona huyu namuweza tu. Mara Paap DP World hawa hapa shughuli hamna tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hio furaha utaipata wapi na iphone 16 hainunuliki wala vacation za Dubai haziendeki???
 
Anakimbiaje majukumu mapema hivyo?πŸ˜…
Aisee, kwa red flags hizo he should run for hiz life πŸ˜‚πŸ˜‚..huwez kununa na kukasirika bila sababu ya msingi, hayo yanayokusibu hayawez kujisolve ukinuna na kukasirika, sema usikike tujue tunasolve vipi, hakuna jambo linalofanyika dunia ya leo lisilokuwa na solution .
 
Elimu ya mahusiano hakuna kizazi sasa watu utaka waishi kama masingle wakiwa kwenye ndoa kumbe ndoa ni kanuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…