Ndoa ni upuuzi: Mke wa mtu anasema ananipenda Sana

Ninampenda mke wangu, na sijawahi kutamani mke wa mtu ambae najua kuna bwana wake kila siku anamtomba...
Na kama ikitokea basi lazima awe mzuri sana, bonge la tako na atamke wazi kabisa anaenda kunipa jicho, maana kama ni mbususu sio kitu cha ajabu kwangu, tena inayokandwa kila siku na bwana wake.....
Na hapo nitajua itakuwa ni one night stand, hakutakuwa na muda wa kuongeaongea wala kupeana namba......
 
Kinywa hakiwezi kuwa na meno mabovu yote 32..

Hali ya uchumi
Unajali kiasi gani?
Unaishi mazingira gani?
Umekutana naye wap?
Ana uelewa gani? Kichwani mwake
Ana kiasi kwa kiasi gani?
 
Bro inakueje mke wa ntu akwambie Leo hawezi kukuacha na ataka muda zaidi kama huna mahusiano naye? Acha mchezo wa kuzingizia wakati we we ndiyo chanzo
 
Mi naona hata huu utandawazi nao umechangia kwa asilimia kubwa sana, kwangu mimi naona huu ndio mzizi mkubwa.
 
Tunza malinda yako mkuu,Mke anagharamiwa wewe ujilie kizembe
 
Ndoa sio upuuzi, ila baadhinya wana ndoa. Kama mke wa mtu amekuambia hivyo haimaanishi wake za watu wote ako hivyo
 
Sioni sehemu yeyote kwenye hili bandiko la mdau ambalo unaweza kum accuse kuwa anajivunia kutembea na mke wa mtu

Nadhani ameshea experience yake tu ambayo imemtokea na ambayo hata katika jamii zetu jambo kama hilo linafanyika.

Nadhani angeongea kauli za kuonesha interest za kumlala huyo mwanamke hapo ningeona kuna muunganiko wa hiki ulichokiandika.

Hivi unawezaje kumzuia mtu kukusemesha? Maana yake kwa jinsi navyo pima naona hii ndio fursa ya kwanza iliyotengeneza tukio lililofuata (kutongoza)
 
Kwamba mnapiga stori sio. Sawasawa, kuna watu wanaokotwa kwenye viroba kwa kuendekeza sifa za kijinga jinga.
 
Hakuna cha zamani wala sasa sema wazee wetu walileta msemo kitanda hakizai haramu ndio maana varangati hazikuwepo kama kipindi hiki mafuta yameshamiri

Labda usifie kuwa zamani wazee walikuwa na vifua vipana na moyo thabiti

Endelea kumsikiliza hadi siku futa likikutembelea uje utupe ushahidi kamanda
 
Mkuu kukaa na mke wa mtu mkafikia kusifiana uzuri, haiji ghafla. Hapo kuna mazoea na ukaribu wa hovyo. Mtoa mada ndio kaurusu hio ukaribu. Sasa wewe mpambe, halafu mwenye mke awakute wanasifiana ndio atajua atakaepokea kipigo ni mke aliyekua anasifia au ni yeye aliyekua anasifiwa
 
Mi kuna kajirani kananiangaliaga sema one day yes
 
Naona kama mna twist maneno, nukuu maneno kama yalivyoandikwa usiongeze translations zako ambazo zinaweza kuonekana kama unamlisha mtu maneno ambayo hayajayasema.

Jamaa amesema mwanamke amemuambia maneno ya kwamba "anampenda" jamaa hajatueleza hayo maneno aliambiwa katika mazingira gani.

Nyie tayari mshaanza kusema "kukaa na mke wa mtu mkafikia kusifiana uzuri"

Na sitaki kuamini kuwa unaamini kwa ulimwengu wa sasa ambao tupo unaweza kumzuia mtu kukufikishia ujumbe wa maneno hayo kwa njia yeyote ile.
 
Sawa mkuu ikiwa mwenye mke siku akijua atakua na huo muda wa kufikiria na kuweka maana sawa. Sisi tunamshauri akae mbali na wake za watu no mara waaa. Wewe unamremba. Sawa ngoja nasi tumpambe. “Mkuu mtoa mada hina baya”
 
Wewe unatakiwa akikupata huyo mume wa mtu akupake mafuta akule huo mdukuzi wako ili ujifunze kuwa kushawishi wake za watu ni jambo baya na la hatari kuu.
 
Sawa mkuu ikiwa mwenye mke siku akijua atakua na huo muda wa kufikiria na kuweka maana sawa. Sisi tunamshauri akae mbali na wake za watu no mara waaa. Wewe unamremba. Sawa ngoja nasi tumpambe. “Mkuu mtoa mada hina baya”
Sasa Mkuu ushasema mtu hana muda wa kufikiria, huu ni uzembe unaoweza kumletea madhara hata yeye pia.

Kwasababu anaweza kufikiria kuja kufanya ubaya akiwa amebeba panga halafu wewe ukajihami kwa bastola. Hapo unadhani risk inakuwa upande wa nani?

Sa si unaona?

Kumbe ni tatizo ambalo amelitengeneza mwanzoni kwa kutokuwa na muda wa kufikiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…