Ndoa ni upuuzi: Mke wa mtu anasema ananipenda Sana

Ooh, sawasawa
 
Sioni tatizo, inawezekana aliolewa kwa sababu ya pesa, presha au kurubuniwa lakini hakukuwa na mapenzi ya kweli, inawezekana pia mapenzi kwa huyo mwanaume yameisha na inawezekana pia mnaendana zaidi.

Tatizo binadamu tunaogopa ukweli mchungu na tunafungwa sana na tamaduni zetu, dini na mitazamo ya jamii.
 
Lazima tukubali ukweli pia kwamba mapenzi yanaweza kuisha muda wowote, sio lazima watu wapendane mpaka kifo.
 
Pia upendo au mapenzi romantic yanaweza kuisha, sio lazima yadumu milele au hadi kifo.
 
mambo yamekuwa mengi matarajio yamekuwa tofauti.
Tatizo kubwa ninaloliona kwa sasa ni nguvu za kiume
swali.Kwani ukishakuwa mke wa Mto nafasi ya kumpenda mtu inaziba?
 
Kwasababu ni ndoa za kulelea watoto, kila mmoja ana mpenzi wake nje.

Sijaona popote kwenye Neno lake Mungu kasema ndoa ni za kulelea watoto!

Ndoa ilikuwa na kazi moja na ndo kazi pekee haifanyiki kwenye hizi ndoa, yanafanyika mengine! !
 
Wewe huaga una akili sana mkuu
Chukua maua🌹
Kuna comment nimesema huko juu kuna wanawake wengi wanaishi na waume zao bila mapenzi

Mimi mwanamke najua nachokisema na hata nikiongea na wanawake wenzangu nasikia

Tena ukiwa na kipato ndio kabisa
 
Sasa
Sasa hapo si sawa na kununua malaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…