Ndoa ni upuuzi: Mke wa mtu anasema ananipenda Sana

Ndoa sio mwisho wa kupenda

Muslims can Mary more than 1
This is for men
Why not women

Usi complicate. Share upendo maana hata maisha ya dunia ni Hadith na upuuzi
Taste as much as you can
Imagine with all struggles but your life will end in a random day
 
Ndoa sio upuuzi, huyo mke wa mtu ndio mpuuzi,Ndoa sio ndoano kama anaona kuwa hawezi kuendelea kuishi na mwenza wake ana haja gani ya kujitesa? Maisha yenyewe mafupi atoe kitanzi maishani mwake awe huru kama na wewe anavyodai au na mtu mwingine.
Ila nikuambie kitu kimoja, mke wa mtu ni mzuri anapokuwa kwenye ndoa yake, nje ya ndoa yake ni mwanamke wa kawaida sana, yaani ni malaya kama Malaya wengine, hiyo heshima ndogo unayompa ni kwa sababu ya ndoa yake. Hata yeye kwake ni rahisi kukupata wewe kwa sababu anatumia nafasi ya mume wake vibaya. Nakuakikishia kuwa akiachika kwenye ndoa yake hata wewe utamuacha.
 
Tatizo ni umri! Huo ni ubinadamu, hata wewe kuna siku atakuona wa kawaida tu. Kufunga ndoa hakubadilishi mtu, atabaki ni yule yule. Kukinai ni jambo la kawaida.

Ndiyo maana Nasema, msichana ambaye hajafikisha miaka 30 na hajazionja akatosheka, hawezi kutulia katika ndoa kwa maisha ya sasa.

Aidha elewa ndoa na ngono ni vitu viwili tofauti. Ndoa ni kupata rafiki, mtu wa karibu yako. Ngono ina asilimia ndogo katika ndoa. Ngono unapata popote, ila ndoa Huwezi kuipata kirahisi
 
Spoken like a woman. Kwamba utashi wa mwananke mwenyewe hauwezi kumpelekea akachepuka bila kukosewa! Hypergamy is a joke to you isn't it?
 
Sahihi! Unajua kuna fomula inasema: distance times foolishness is equal to Beauty. Umbali unapopungua uzuri unapungua. Ukiunganisha vikojoleo maana yake distance ni zero. Kumbuka any number times zero equals to zero. Kama mwanamke hamuishi wote, kila mtu anakuwa na hamu mnapokutana guest. win-one alijisemea anafika keshalowa. Kwenye ndoa Upo naye benet ujue. Ndoa inataka ukomavu wa akili
 
gwapole kuna vitu vingine huwa natania jamni😅😅😅 usiwe unabeba kila kitu ninacho zungumza dah,,,

ila twende mbele tusirudi nyuma mwanamke akimpenda mwanaume wake utelezi unakuaga nje nje yani🤭😜
 
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…