Ndoa ya Manara na Zaiylisa yapumulia mashine. Zaiylissa amshambulia Manara kwa kutongoza watoto wadogo

"Umekuja kwangu huna nguo ,huna NIDA wala passport πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ "

Manara HaDindoyogo????? 😳😳😳 wanawake buana wakiambua kukudhalilisha ,sasa miaka yote aliwezaje kukaa na DINDOYOGO?
 
Hao wanatumika tu hakuna lolote kuzima issue ya Tundu Lissu kukamatwa na humohumo upande wa jangwani kupooza ushindi wa Mnyama mkali ili usiongelewe, msihadaike

Sure ,imekaa kama KIKI kiki hivi wala hakuna uhalisia ,naona zaylissa kila post anatag biashara.

Sasa mtu anayemsema kwamba Manara DINDOYOGO(No reforms ,NO ERECTION) anapataje wivu sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…