ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #61
Bora useme wewe inashangaza yaani wanaume ni wabinafsi jamani alooooo nimenyoosha mikono juu๐๐ผ๐๐ผMbona watu wanajibu upande mmoja tu kana kwamba mwanamke ndie mkosaji pekee katika ndoa?
Mtaacha lini ubinafsi nyie watu aiseeeHahahahhaa wanawake wameumbwa na gubu zaidii sanaa wanaume hawataki kelele kbss......ongea once and go......utarudiq mara 20 ili upate reaction utaishia makofiii sasaa
Karibu sana ๐ฟNasoma comments za wadau hapa.. kuhusiana na hii TAASISI ya ndoa.
Mwanamke nae ikitokea ameshindwa kuvumilia afanyaje?Kuna watu wa karibu nimeshuhudia wakifanya hivyo na wamekua na maisha ya furaha.Pia inasaifia sana km unawatoto wako kwenye ndoa wasiachike na kusimwangwa kwa kuachana kwenu wazee
Yanga lolote baya liwakute tu ๐ฅDah hatujamalizana na la yanga tayari ushaleta swala la talaka kwa ndoa
Hivyo vitu vinavyofanya ndoa iwepo vinakosekana baada ya miaka 30+
Sasa mtu kawa open kuna shida ganiMimi Kuna mamsi aliniambia sipo romantic... Nawaza je ingekuwa na date naye na kuingia naye ndoani sijui ingekuwa aje
Sawa mkuuHata 60.
Leo umeanzisha mjadala mpana sana huu huku wengine wanasherekea 30 year's anniversary wengine wanakimbizana mahakamani kudai maandishi tu ili kuvunja ndoaYanga lolote baya liwakute tu ๐ฅ
Kuna umri ukifika, u handsome haupo na unatakiwa upate fedha kwa kile ulichokiwekeza ujanani, watoto wanaelekeza upendo kwa mama.Aisee na hizo mali ndio sababu watu wanauana ukiacha usaliti
Yeah kwa amani kabisa pasipo usumbufu na kuacha traumas kwa mwingineSasa mtu kawa open kuna shida gani
Vizuri Kabisa ili ujikatae mapema utafute mgumu mwenzio
Principle ya mzee wako ninaifanyia kazi, in case of anything nitaondoka na begi lenye nguo chache sana. You can't tell your wife where you put all your eggs, sema mnaoishi kizungu mnaweza.Mzee wangu aliniambia jambo moja muhim sana ..Ukikaa na mwanamke ukazaa nae watoto baadae ukaona ni msumbufu habadiliki mwanangu mpishe mwachie kila kitu hapo nyumbani ikiwezekana nenda mkoa mwingine mwache hapo usimpe talaka kaanze maisha mapya huko mbali kumaliza uzee wako salama.Akaongeza mwanangu kua na akiba ambayo mkeo haijui mjulishe ndugu yako unae mwamini sana hata swala kama hilo likatokea unapakushika na kuanza upya.
Mi nadhani ni ile mtu kujipa moyo kua mwenza atabadilika kumbe tabia ni kama ngozi kujisemea waswahiliWanatakwimu wanasema ndoa zilizozeeka zina hatari kubwa ya kupitia talaka.
Sababu kubwa ikiwa kila mtu ameshatulia iwe kihisia na kiuchumi, sababu ndogo tu inafanya muende separate ways, na ikifikia hapo hakuna kurudi nyuma.
This is the way to goPrinciple ya mzee wako ninaifanyia kazi, in case of anything nitaondoka na begi lenye nguo chache sana. You can't tell your wife where you put all your eggs, sema mnaoishi kizungu mnaweza.
Sio mbaya kuachana umri huo wa ndoa, purpose ya maisha kwa asilimia kubwa unakuwa umeimaliza, hakuna mtoto anakuwa tegemezi, uzee huu hapa, kama ni uwekezaji umemaliza, ni kuvuna na kulinda ulichotafuta. Kuachana na ndoa changa kuna athari hasa kwa wale tegemezi wako...Mi nadhani ni ile mtu kujipa moyo kua mwenza atabadilika kumbe tabia ni kama ngozi kujisemea waswahili
Si bora muachane mapema
Unaweza kujipatia wa kuzeeka nae mkachoma nyama pamoja na kuota jua