Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Hongera mkuu... Mwenyezi Mungu awajalie amani na upendo mzeeke pamoja.
 
Unaweza sema mpita njia kumbe ndio mimi nilikuja na id yangu nyingineπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nina uhakika asilimia 99.99999999999, hana akaunti JF, siku za mwanzo nilikuwa siamini baadae nikapa uhakika hana.

Na kama ukiwa wewe, usiku tukilala unitie MAKONZI πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa kama hana account jf mlipatanaje?
Huwa anapita kusoma soma vitu, Alisoma tangazo akaona namba za simu akanicheki. Walikuw kadhaa ila yeye ndio akapenya

πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Oooh!! Kumbe uliweka namba za simuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwahiyo mimi ndio ukanikata😭😭😭
Hukunicheki sasa, ulitaka ushindi wa mezani!? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hukunicheki sasa, ulitaka ushindi wa mezani!? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Si ndio mzee mwenzanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukanichatisha wee halafu ukanikata!!! Amakweli hii dunia sio yetuπŸ™†
 
Si ndio mzee mwenzanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukanichatisha wee halafu ukanikata!!! Amakweli hii dunia sio yetuπŸ™†
Mzee mwenzangu uliwahi kuwa msaidizi wa eric Shigongo nini πŸ˜‚πŸ€£
 
Jina la mtoto liwe genta, mpwayungu, au mwashambwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…