Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Kwanza namshukuru Mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabisa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu.

Ndugu zangu, Allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru Mungu mama na mtoto wako salama.

Kuna ndugu zangu walinipa support (kunipa moyo) kwenye jambo hili (kusaka mke JF) si vibaya nikiwapa mrejesho, si rahisi kuwakumbuka wote.

AKILI IKO HOVAS![emoji23][emoji1787]

Thread 'Natafuta mke' Natafuta mke
Hongera mkuu... Mwenyezi Mungu awajalie amani na upendo mzeeke pamoja.
 
Unaweza sema mpita njia kumbe ndio mimi nilikuja na id yangu nyingine😂😂😂😂
Nina uhakika asilimia 99.99999999999, hana akaunti JF, siku za mwanzo nilikuwa siamini baadae nikapa uhakika hana.

Na kama ukiwa wewe, usiku tukilala unitie MAKONZI 😂
 
😂😂😂😂😂
Sasa kama hana account jf mlipatanaje?
Huwa anapita kusoma soma vitu, Alisoma tangazo akaona namba za simu akanicheki. Walikuw kadhaa ila yeye ndio akapenya

😂 😂
 
Oooh!! Kumbe uliweka namba za simu😂😂😂

Kwahiyo mimi ndio ukanikata😭😭😭
Hukunicheki sasa, ulitaka ushindi wa mezani!? 😂 😂 😂
 
Hukunicheki sasa, ulitaka ushindi wa mezani!? 😂 😂 😂
Si ndio mzee mwenzangu😂😂😂
Ukanichatisha wee halafu ukanikata!!! Amakweli hii dunia sio yetu🙆
 
Si ndio mzee mwenzangu😂😂😂
Ukanichatisha wee halafu ukanikata!!! Amakweli hii dunia sio yetu🙆
Mzee mwenzangu uliwahi kuwa msaidizi wa eric Shigongo nini 😂🤣
 
Jina la mtoto liwe genta, mpwayungu, au mwashambwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom