Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

Kwanza namshukuru mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabiisaa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu.

Ndugu zangu, allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru mungu mama na mtoto wako salama

Kuna ndugu zangu walinipa support(kunipa moyo) kwenye jambo hili(kusaka mke JF) si vibaya nikiwapa mrejesho, si rahisi kuwakumbuka wote,
AKILI IKO HOVAS😂🤣

Thread 'Natafuta mke' Natafuta mke
Mwamba hongera Sana Kwa kupata mke Jf na mtoto pia

Na Leo ndio nimesoma Uzi wako wa kutafuta mke, Mashallah nimependa maelezo yako juu ya kesho yako na kutambua duniani hapa tunapita Tu

Mungu awajalie mwisho mwema wewe na mkeo na kubwa zaidi mdumu katika ibada

Haya mambo ya mitandaoni yanawezekana Sana tatizo watu wanachukulia poa Tu.

Ngoja nimtafute kipenz changu To yeye pm akikubali kubadilisha Dini tunayajenga 🤣🤣
 
Hongera sana sana Kaveli,
Mungu akawatunze daima..!!

Depal na Darlin mmeamini miracles do still exist eeh'..!? Acheni kunisumbua kwamba hakuna watu...!

Bufa una neno lolote la nyongeza hapa..!??
Mimi nakwambiaga dada yangu sema hauko serious
fungua piemu hiyo tukule ubwawa mwakani mwanzoni kabisa
Depal dada angu njoo uone huku oohhooo
 
Kwanza namshukuru mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabiisaa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu.

Ndugu zangu, allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru mungu mama na mtoto wako salama

Kuna ndugu zangu walinipa support(kunipa moyo) kwenye jambo hili(kusaka mke JF) si vibaya nikiwapa mrejesho, si rahisi kuwakumbuka wote,
AKILI IKO HOVAS😂🤣

Thread 'Natafuta mke' Natafuta mke
Umemuoa mwanaJF gani? Isije ukawa umeoa michepuko wangu...

Hongera na Kila la kheri mkuu ndugu yangu
 
Ni ajabu fulani hivi eeh!! 😂
ajabu ipo kwako kidogo, komenti zako zinakuwaga za kitupaki ni ngumu kujua kama wewe ni ustadhi mzuri tu na una mke na mtoto sasa 😂

kwa jamii forums kupata mke si ajabu kwani naamin jamii forums ni kama kioo kinareflect unachofanya, ukileta mzaha wadau wanareflect kimzaha mzaha, ukiwa serious mambo yatanakuwa serious kweli.

Acha nirudie tena.. Kumbe jf kweli ni kisima cha mafanikio 😂

alafu kumbe mshua na wewe ni wa buza!
 
Back
Top Bottom