Ndoa za wake wengi ni mateso sana kwa watoto/ wake

Siyo kwa sababu baba yako alikuwa na wake wengi akashindwa kuwalea basi watu wote watashindwa. Usichukue kesi ya nyumbani kwetu ukaifanya ni kesi ya watu wote. Kuoa watu wengi siyo suala la kidini tu hata mila na desturi za makabila yetu zinahimiza mwanaume kuoa wake wengi. Wewe kama hutaki kwa sababu zako binafsi usituletee kampeni zako za kijinga hapa.
 
Wewe baki na mkeo usitupangie maisha. Sisi tuna wake zaidi ya mmoja na tunainjoi maisha kama kawaida.
 
Alikuwa na zaidi ya wanne ila alipokuja Mohammad kukamilisha dini akaweka ukomo kuwa mwisho kuoa ni wanawake 4 tu na hilo ni agizo alilopewa na Mungu
kwahyo mungu alibadili mawazo? Akaona kwamba sulemani hakufanya sawa?
Suala la kuoa wanawake wanne ilikuwa kupunguza tamaa ya mwanaume, japo wapo masheikh wana wake watatu mtaani lakini wanalala na vitoto vya miaka18.
mantiki ni uwe na uwezo wa kuwahudumia, huwezi ku mlimit mtu kama elon musk tajiri wa kwanza awe na wake wanne wakat ana uwezo wakuhudumia wanawake hata10. Na zaidi kama ilivyo kwa suleimani.

Lakini suala la wanawake wengi ni mfumo dume tu ambao unamnufaisha mwanaume kihisia kuliko mwanamke, hilo ni jambo lipo wazi, hakuna mwanamke anayependa kuona mwanaume wake yupo na mwanamke mwingine ila hawana namna, kama wewe ambavyo hutaki kuona mwanamke uliye nae yupo na mwanaume mwingine.
 
Nijibu wewe ni dini gani? Kwasababu isije nabishana na mkristo
 
Kwenye uislamu hata uwe na pesa kiasi gani haitakiwi uzidi wanne
 
Ni sahihi. Kwa jinsi ninavyoona lile puuzi lililodanganywa na mashehe wa BAKWATA Morogoro kuwa hakuna mwanamke anayekubali au kuruhusu mme wake kuoa mwanamke mwingine bila kurogwa naye akamloge yule Dada ili aoe wanawake 3, akiwemo yule Polisi toka Musoma Anna John na jinsi anavyomnyanyasa yule Dada wa watu aliyekuwa mke wake anasikitisha sana. Umesema sahihi kabisa.

Mungu amsaidie yule Dada.
 
Wakija hao wenye uwezo watasema umewakosea
 
Kwenye uislamu hata uwe na pesa kiasi gani haitakiwi uzidi wanne
kila kitu kina faida na hasara, lakini wapo watu waliooa wanawake watatu lakini bado matendo yao si ya kumpendeza mwenyez mungu ila wapo pia waliooa wametulia vzuri.
Hapo utaona ni suala la tamaa za kiipumbavu tu, maana wapo waliotulia na wapo ambao hawajatulia wanaebdelea kuzaa na vitoto vidogo.
 
Kwenye uislamu hata uwe na pesa kiasi gani haitakiwi uzidi wanne
Vipi allah hajasema nao wanawake waolewe na wanaume wangapi ili nao wapate starehe au furaha huko nje kama wanakosa furaha kwa wake zao? Huoni kama allah ni muonevu na anakandamiza bila kuheshimu hisia za wanawake? Mungu gani muonevu kwa wanawake na amewachukulia wanawake kama chombo cha starehe kwa wanaume.

Kimsingi, kwa niliyoyaona kwa yule Dada wa pale Morogoro. Ndoa za wake wengi ni kongwa na unyanyasaji wa wanawake. Hakuna mwanamke mwenye akili timamu anakubali kuolewa use wenza bila kulogwa. Lazima mashehe wamtupie pepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…