Ndoa za wake wengi ni mateso sana kwa watoto/ wake

mkuu samahani naomba unielekeze vizuri hii habari?
Kweli nimetamani kujua lakini sijaelewa au sikuisikia nieleweshe mkuu
 
Swali zuri sana, kila kitu kina mapungufu
 
Unajua binadamu wa leo wanakufuru mno na ni wajuaji sana kumzidi Mungu eti wanakuambia kuoa wake wengi sio mpango wa Mungu wakati wateule wa Mungu kama Yakobo,Suleiman walioa wake wengi
Kijana wewe unadhani kila walichofanya hao Mitume na Manabii basi maana yake ni halali na wewe ufanye je unajua mwisho wa siku ni yepi yaliwakuta, kwa taarifa yako kina Suleiman na Daudi waliua watu katika utawala wao na wakazidi kubarikiwa je unataka kusema kuua si dhambi eti kisa hao waliua, mambo mengine huyo mungu aliwaacha wayafanye ili mwisho wa siku waje kuelewa kuwa hawakuwa sahihi ndio maana walikuja kukiri wenyewe kwamba mwisho wa siku walikuja kugundua yote yalikuwa ni ubatili na kujilisha upepo tu..
 
Anajifurahisha tu huyo😂😂 tena afrika hii!
Hakuna mwanaume mwenye wake watatu wakawa wanapendana hao wanawake ila mwanaume ata enjoy ila siku akifa hilo bomu aliloacha nyuma ni hatari😂
Ukweli mtupu
Hata watt Huwa inakua chuki tupu na unafiki
 
AKIKUJIBU HILI SWALI KIUFASAHA NALEFT JF NAJITOA
 
Speaking from experience
Mtaelewana kiunafiki
Wa mama na baba mmoja ht mkizinguana Bado haitakua sawa na hiyo ya mama tofauti

Ni ushenzi kabisa
Nani kakudanganya hivyo huku kwetu mtu anamfanya mwanae msukule sembuse mtu eti ulizaliwa nae tumbo moja
 
Kwahiyo hata wake wa Yakobo nao walirogwa?Hivi akili timamu unaipimaje? Au kumuita Yesu ni Mungu ndio akili?
 
Na wapo waliooa mke mmoja na akendelea kuchepuka... kiufupi hata unachokipinga haukijui mpaka sasa
 
Na wapo waliooa mke mmoja na akendelea kuchepuka... kiufupi hata unachokipinga haukijui mpaka sasa
nilijaribu kukuonyesha hicho unachosema mungu kakiweka kwamba ndio sahihi, lakini tunayaona katika jamii zetu wenye wake watatu na wanashikwa ugoni, wanazalisha watoto wadogo.
Sijui umeelewa point?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…