Ni kweli mke hachungwi lakini kwasisi wanaume ni vigumu sana kuendana na hii kauli . Kwanini kwasababu wanaume wengi hatupendi kugongewa hivyo kwa namna moja au nyingine kwa wazi au kwa siri hujitahidi kuwachunga wapenzi wetu . Na hii ni kwa wanaume wengi sana bila kujua kuwa kazi ya kuchunga mwanamke tujipayo ni ngumu sana na kwame hatutaiweza lakini bado wengi wetu hutakakuendelea kuifanya .Mke hachungwi hivyo unazani yeye akitaka kucheat anajiendea tu? Kuna wakati upo kwenye gari umesimama umebanwa huwezi fanya lolote, yeye ni mkamilifu?
Watz ni wengi kuliko hao umewataja. Wanawezaje kufanya hvo?Kuna uzi humu ulisema watanzania tumelishwa kitu na wanasiasa ili tusijitambue wao waendelee kututafuna huenda kuna ukweli
Umsamehe mwenzio? 😂😂😂😂😂Habari wadau.
Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR
Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio muaminifu
Tazameni video ya tukio
View attachment 2865754
Hawa ni wale wanaume ambao hawana uwezo wa kuacha mwanamke ndio wanalazimisha hata kama hawatakiwi mwisho wa siku waishie jela 😁😁Aisee, hizi hasira hizi, anaweza kupata kesi ya uuaji kiurahisi kesho yake akajuta.
😂😂😂😂😂 Sina ujinga huo na sijawahi na Sina hata Mpango wa kufunga Ndoa 😁😁Ndoa ni kama dini, watu wameaminishwa hakuna kutengana,ivo wameuza nafsi zao huko....kufa kupona
Sio wanaoitwa wanaume wote Wana uwezo wa kuacha mwanamke,wengi hawana so wanalazimisha na wako tayari kuua na Kujiua 😂😂Huyo mwanaume naye ana akili za kitoto sana.
Kama anahisi mkewe anamsaliti kwanini asiachane naye?
Kwani ndoa ni jambo la kulazimishana?
Nani anampa huyo mwanaume haki ya kumtesa au kumkaba ili kumuua huyo mkewe?
Haya mambo yasikie tu kwa wengineHabari wadau.
Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR
Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio muaminifu
Tazameni video ya tukio
View attachment 2865754
Sasa bibie si yupo hapo mbona hajapinga! Mwamba hajaongea uongoStori ya upande mmoja hii mkuu😅 bibiye nae hatujamsikiliza, au naleta ufeminist?
Relief ipi zaidi ya kujidhalilisha 😁😁Huyu jamaa unakuta kashasema ndani mpaka kachoka, hapo ni ile hali yaku changanyikiwa anahisi akifanya ivyo mbele za watu kuna relief atapata...... na pengine anahisi akifika ndani mwanamke labda ataomba msamaha, kuna wanawake kwenye ndoa hata akosee vipi samahani hasemi,
Unaweza usimuelewe huyo jamaa na wengi tutasema kakosea!!! Ila vipi kuhusu izo calls zote alizopiga wife alikuwa haoni???
Huyo demu hapokei simu kuanzia saa 12 jioni mpaka saa nne usiku, tena huyo jamaa kajikaza sana na hizo missed call 16 Mimi zingefika 40 kama RapchaMissed calls 16 sio kigezo, unaweza pigia mtu mara 16 kwa intervals za 1Sec. Kama hakua na simu kwa DK10 tayari. Kumpigia mtu asipopokea vuta hata 5-10 Min ndio upige tena, huwa nachukia mtu anakupigia mfululu hupokei ikikata tu amepig tena
Jamani mwenzenu naumia