Mmea Jr
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 798
- 1,871
Ni kweli mke hachungwi lakini kwasisi wanaume ni vigumu sana kuendana na hii kauli . Kwanini kwasababu wanaume wengi hatupendi kugongewa hivyo kwa namna moja au nyingine kwa wazi au kwa siri hujitahidi kuwachunga wapenzi wetu . Na hii ni kwa wanaume wengi sana bila kujua kuwa kazi ya kuchunga mwanamke tujipayo ni ngumu sana na kwame hatutaiweza lakini bado wengi wetu hutakakuendelea kuifanya .Mke hachungwi hivyo unazani yeye akitaka kucheat anajiendea tu? Kuna wakati upo kwenye gari umesimama umebanwa huwezi fanya lolote, yeye ni mkamilifu?