Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Mke hachungwi hivyo unazani yeye akitaka kucheat anajiendea tu? Kuna wakati upo kwenye gari umesimama umebanwa huwezi fanya lolote, yeye ni mkamilifu?
Ni kweli mke hachungwi lakini kwasisi wanaume ni vigumu sana kuendana na hii kauli . Kwanini kwasababu wanaume wengi hatupendi kugongewa hivyo kwa namna moja au nyingine kwa wazi au kwa siri hujitahidi kuwachunga wapenzi wetu . Na hii ni kwa wanaume wengi sana bila kujua kuwa kazi ya kuchunga mwanamke tujipayo ni ngumu sana na kwame hatutaiweza lakini bado wengi wetu hutakakuendelea kuifanya .
 
Habari wadau.

Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR

Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio muaminifu

Tazameni video ya tukio

View attachment 2865754
Umsamehe mwenzio? 😂😂😂😂😂

Sasa huyu nae ni mpumbavu unalalamikia nani Sasa?
 
Unajijua kabisa wewe kibamia, tangazo la dawa ya kukuza kibamia linapita halafu unajifanya huchukui namba ya mganga kisha unakimbilia kuoa. Kwanini usigongewe.


# kibamia huwa kinamuondolea mwanaume hali ya kujiamini na kuona kama anachitiwa na mpenzi wake
 
Huyo mwanaume naye ana akili za kitoto sana.
Kama anahisi mkewe anamsaliti kwanini asiachane naye?
Kwani ndoa ni jambo la kulazimishana?
Nani anampa huyo mwanaume haki ya kumtesa au kumkaba ili kumuua huyo mkewe?
Sio wanaoitwa wanaume wote Wana uwezo wa kuacha mwanamke,wengi hawana so wanalazimisha na wako tayari kuua na Kujiua 😂😂
 
Mi naona watu mnapiga kelele hapa hamuelewi wanawake wanavooperate na akili zao

Usikute jamaa alitaka wafike nyumbani ila majibu ya kijinga ya mke wake yakafanya apaki kwanza 😁

Nasema hivii hata wanawake wangekua wanaume halafu wangepata wanawake wanaojibu shit vizuri wangeelewa kwann mtu anapigwa bastola hivi hivi
 
Huyu jamaa unakuta kashasema ndani mpaka kachoka, hapo ni ile hali yaku changanyikiwa anahisi akifanya ivyo mbele za watu kuna relief atapata...... na pengine anahisi akifika ndani mwanamke labda ataomba msamaha, kuna wanawake kwenye ndoa hata akosee vipi samahani hasemi,

Unaweza usimuelewe huyo jamaa na wengi tutasema kakosea!!! Ila vipi kuhusu izo calls zote alizopiga wife alikuwa haoni???
Relief ipi zaidi ya kujidhalilisha 😁😁
 
Missed calls 16 sio kigezo, unaweza pigia mtu mara 16 kwa intervals za 1Sec. Kama hakua na simu kwa DK10 tayari. Kumpigia mtu asipopokea vuta hata 5-10 Min ndio upige tena, huwa nachukia mtu anakupigia mfululu hupokei ikikata tu amepig tena
 
Missed calls 16 sio kigezo, unaweza pigia mtu mara 16 kwa intervals za 1Sec. Kama hakua na simu kwa DK10 tayari. Kumpigia mtu asipopokea vuta hata 5-10 Min ndio upige tena, huwa nachukia mtu anakupigia mfululu hupokei ikikata tu amepig tena
Huyo demu hapokei simu kuanzia saa 12 jioni mpaka saa nne usiku, tena huyo jamaa kajikaza sana na hizo missed call 16 Mimi zingefika 40 kama Rapcha
 
Back
Top Bottom