Kwa mambo yenye mkanganyiko kama haya ni vyema tuombe msaada wa Roho mtakatifu kabla hatujaconclud mambo. Sijamaanisha kile wanachokiomba wakatiliki ni sahihi. Pia nao wanatkiwa kusoma neno kwa msaada wa Roho mtakatifu.Acha upotoshaji, Sala zetu na maombi yetu ni kwa Baba wa mbinguni kupitia Yesu Kristo pekee na sio vinginevyo.Kuomba kupitia Maria na watu wengine ni upagani maana hamna popote kwenye Katiba yetu iliposemwa tuombe kwa Maria.
Sijakuelewa mkuu, naomba ufafanueWachawahi wanakuchezea, wanakuchezea wapi mimi sijui ndiyo maana ikawa ndoto...
Mkuu huu unabii unamhusu nani?‘Ninamsifu Yehova, Mfalme wa mbinguni. Sasa ninajua kwamba Yehova ndiye Mtawala. Anawanyenyekeza wenye kiburi, na humpa yeyote yule amtakaye ufalme huo.’
Shukrani sana ubarikiweTafsiri ya ndoto hio ni kwamba ulikuwa unafatiliwa na wachawi Ili wadhuru maisha yako lakini ukapambana nao na ukawashinda ndo maana ya kuwauwa mbwa baada ya kuwashinda wakaenda kuongeza nguvu hao mbwa wengine still ukawashinda so Ina maana una nguvu kubwa kuliko hao wapumbavu ndo maana ukawashinda.
Duuuuh duuuhMbwa kwenye ulimwengu wa kiroho wanamaanisha roho ya uzinzi
ShukranNdoto yako ni ngumu
Ila uwepo vitu kama rungu, nyundo na mti mkubwa ni ishara ya utawala au mamlaka
.Ndoto Inategemea nani anaota ndoto moja inaweza kuwa na maana tafauti kutegemea na mtu aliota.
Km wewe ni mtu una mamlaka ya kufanya maamuzi jiandae na mabadiliko utakapo hisi umewashinda adui zako watakuja tena na nguvu kubwa kwa ghafla
Umefel kaka.kwemye ushirikiana sipoooooo Sina hTa chale mojaWachawi wanakufuatilia,take care pia unatimia njia za kishirikina kijilinda na nguvu za guza
Hahahaaaa mkuu hio ya kwenye mtihani tupo wengi sana.....halafu baada ya kutupiaa akili inatulia hadi raha.Hebu tuwasubirie wadau Ila Nami nitoe ushuhuda wangu hapa na tuondoke stress za maisha.
Nilijikujolea juzi hapa nikawa natetemeka kabisa kwa ule utamu.. Ila hizi ndoto ni tamu sana hasikwambie ntu japo inaniboa kuchafua boxer.
Scnerio nyingine ni kipindi nasomaga secondary na Chuo.. yaan ukute mtihani hujamaliza kufanya halafu msimamizi anakwambia bado dakika 5 yaan nilikuwa najikojolea hadi BAO 3.. Binafsi sijajua kwann kwenye Ile Hali inapelekea ku-ejaculate tena bila kujisigua [emoji16][emoji16]
AhahaahaMkuu acha kuhangaika tafuta demu acha habari z kujificha kwenye kivuli cha ndoto acha kabisa kupiga punyeto
Tafsir hutokaa kwenye hiyo nyumba sababu ya uchawUsiku wa leo nmeota ndoto... Nipo nahamisha vitu ndani ya nyumba tuliohamia kwaajili ya makazi mapya na kuvirudisha makazi ya zamani.
Ila baadae nikaenda tena kutoa vitu nilivyorudisha kule kwenye makazi ya zamani na kutaka kuvirudisha tena kwenye makazi mapya ila ile nafika pale mlangoni nikakuta mlango umefunguliwa kwa kubomolewa pembeni na ndani wakatoka mbwa wawili wakakimbia ila mmoja akawa anajaribu kurudi ila namfukuza na baada tu ya hiyo ndoto hapo hapo nikaanza kukabwa kama kawaida, kuja kushituka ni saa10 usiku na usingizi ukaisha mpaka asubuhi hii [emoji22]