Ndoto hii ina maana gani? Je, ni walking dead?

Huwa hatulali upange mmoja usiku mzima,huhangaika sana
Mbona unataka kulazimisha kuwa hicho unchokiongea kiwe na mfano wa ukweli bila kunieleza kutokana na mimi kuto geuka mpaka ninapoamka ninakuwa nipo vilevile kama nilivyolala. Mimi ninakwambia haya kwa sababu nilishafanya utafiti kwa kulala namna tofautitofauti japo sikuwahi kuwaza kama wewe ila mimi nilikuwa natafuta kujua kuwa ninapokuwa nimelala hivyo mtu wangu wa ndani anakuwa amelala kama mtu wa nje. Nimefanya utafiti kwa muda mrefu sana.
Pia nikwambie tu unapokuja kukabwa huwa unakuwa macho kabisa ila utakuta ghafla kuna nguvu zinakufumba macho ndipo kama utakuwa makini utamuona mtu anavyoingia.
Tena alipokuwa akiniachia tu ninakuwa macho hapohapo na ninamuona anavyotoka. Mfano mimi nimeona watu kadhaa na moja nilimbana nikamtaka ataje jina lake akanitaji na pia sehemu ambayo wamekuwa wakitokea ni kwenye uwazi wa kifuniko cha paa la nyumba.
Siyaandiki haya kusimuliwa bali mengine nimeona kwa macho yangu nikiwa macho sijalala.
 
Mwaka jana nilipata ndoto ambayo bado sijapata maana yake.

Nikiwa nimelala niliona mwanga mweupe sana ukinimulika.

Nikawa nasema maneno haya kwa lugha ya kingereza " Holy Mary Mother of God Pray for us".

Nilijikuta nimeamka na naendelea kuweweseka kwa kutamka maneno hayo.

Dini yangu ni Mkristo ingawa sio wa dhehebu la Katoliki.

Je, ndoto hii ina maana gani?
 
Habari za jumamosi wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nimekuwa mhanga wa tatizo hili na limekuwa la muda mrefu sana toka 2015 mpaka hivi leo nimekuwa nikikutana na tatizo hili na mara ya mwisho kunitokea ni kama week mbili zilizopita hapo nyuma.

Wengi husema ukilala chali ndio hutokea hivyo lakini kwangu sasa imekuwa sivyo tena bali hata nikilala kawaida kwa style yoyote ile, jambo hilo linaweza kunitokea. Nakumbuka kuna kipindi fulani hii hali ilizidi kwa siku ilinitokea kama mara 4 yaani usiku, asubuhi mapema majira ya sa12 ikanitokea na mchana pia nilivyolala ikanitokea, na usiku wa hiyo hiyo siku kwa kuwa nyumbani walifahamu hiyo siku tatizo lililonikuta basi usiku tulisali sana na nikabadilishiwa chumba cha kulala lakini usiku hali iliendelea vilevile.

Siku iliyofuata tulienda kwa mchungaji kwaajili ya kufanyiwa maombi lakini baada ya kufika kwa mchungaji kuna maneno alikuwa akiniambia na akiongea ambayo baadaye yalinifanya nijiulize sana maswali. Na pia kabla ya nyumbani kuchukua maamuzi ya kunipeleka kwa mchungaji, mama yangu alisema aliwahi kwenda kwa mchungaji huyo huyo kufanya maombi yake ya kawaida kama siku zote na alisema kuna siku mchungaji yule aliwahi kumwambia kuwa "una mtoto wako ambaye husumbuliwa na ndoto za ajabu wakati wa usiku...."

Hayo maombi nilifanyiwa zamani ni miaka sasa imepita ila hali hii hujirudia mara chache sana sasa nashindwa kuelewa labda huwa ina maana gani? Kwa kuwa humu JF kuna watu wengi wenye uelewa wa mambo mengi tofauti tofauti basi na uhakika naweza elewa kitu.

Asanteni! Mkawe na Sabato Njema!
 
KUNA MAMBO UNATAKIWA KUJUA KWENYE HILI.
1. Mungu anasema watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa. (Hosea 4:6). (Yaani kuomba watu tunaomba lakini maarifa ya kuombea au kutatua tatizo kwa namna sahihi hatuyatafuti) Ninayaongea haya kwa sababu katika kuhudumia watu mbalimbali nimekutana na watu wengi ambao watakwambia kitu kilekile ambacho Mungu ameniambia mimi lakini walioneshwa tatizo halafu hawatafuti ni namna gani Mungu ameweka njia ya kutokea kwenye hilo tatizo

2. Nimekutwa na tatizo hilo kwa muda kidogo. Niliomba sana lakini halikuisha hilo tatizo kwa maombi niliyokuwa nikiomba.

3. Nikaanza kufuatilia hili jambo lipo vipi. Kwanza hiyo si ndoto bali ni tukio halisi linalokuwa linatokea muda huo. Mimi nilianza kuwa makini kufuatilia ndipo nikaona kuwa anapokuja mtu huyo huwa macho yanaanza kuwa mazito na ninaanza kuishiwa nguvu hata nikianza kuomba siwezi halafu ghafla utaona mtu anakuja na kufanya anachofanya. Kweli nikawa napata hasira sana lakini nikanza kuamuru wale watu warudi ili niwaone vizuri ni nani? Kweli walikuwa wanarudi.

NIKAMUULIZA MUNGU HII KWA NINI INAKUWA HIVI. AKANIJIBU MAJIBU YAFUATAYO.
1. Sina nguvu za kiroho. Nguvu za kiroho zinakuwa zinajiactivate automatical inapotokea shida yoyote na unaweza kushinda katika ulimwengu wa roho na kushinda. Soma Waamuzi 16:20, Halafu soma mistari ya nyuma yake ujue chanzo cha kuishiwa nguvu(Yaani kumuasi Mungu na agano lake) Nikaomba maombi ya Samsoni kwenye Wafalme 16:28.

2. Akaniuliza swali hili je unayo damu ya Yesu Kristo? Unaifanyia nini?

3. Akanifundisha kuhusu malaika walinzi alionipa na namna ya kuwatumia. Kweli watu tunaangamizwa kwa kukosa maarifa. Aliniambia malaika hawajui lugha yako ya kusema malaika fulani naomba bali wanaijua lugha ya amri ambayo ndiyo wanatakiwa kutii. Mfano Unasema kwa jina la Yesu Kristo enyi malaika walinzi ninawaamuru kukaa katika nafasi yenu na kunilinda. (Hapa nakwambia nilichokiona mwenyewe nilikuwa najificha maana kulikuwa na risasi zikitembezwa mpaka niliogopa) Nikashangaa sana na kumtukuza Mungu. Mungu ametupa vitu vikubwa sana lakini hatujui kuvitumia.

Tatizo limeisha na wala sioni tena hizo habari. Wale watu wananiogopa sasa maana siku ya pili niliona kwa jinsi ya mwili nilipokutana na mmoja wa wale watu.

NB: Tafuta maarifa sahihi kutoka kwa Mungu ya jambo linaliokukuta. Yohana 16:13
Mungu akubariki kwa kumshuhudia jinsi alivyo na uwezo mkuu.
 
Uache dhambi, na usaidie watu wote wenye shida wanaokuzunguka; uza vitu vyako vyote ulivyonavyo na uwagawie masikini
 
Mbona unataka kulazimisha kuwa hicho unchokiongea kiwe na mfano wa ukweli bila kunieleza kutokana na mimi kuto geuka mpaka ninapoamka ninakuwa nipo vilevile kama nilivyolala. Mimi ninakwambia haya kwa sababu nilishafanya utafiti kwa kulala namna tofautitofauti japo sikuwahi kuwaza kama wewe ila mimi nilikuwa natafuta kujua kuwa ninapokuwa nimelala hivyo mtu wangu wa ndani anakuwa amelala kama mtu wa nje. Nimefanya utafiti kwa muda mrefu sana.
Pia nikwambie tu unapokuja kukabwa huwa unakuwa macho kabisa ila utakuta ghafla kuna nguvu zinakufumba macho ndipo kama utakuwa makini utamuona mtu anavyoingia.
Tena alipokuwa akiniachia tu ninakuwa macho hapohapo na ninamuona anavyotoka. Mfano mimi nimeona watu kadhaa na moja nilimbana nikamtaka ataje jina lake akanitaji na pia sehemu ambayo wamekuwa wakitokea ni kwenye uwazi wa kifuniko cha paa la nyumba.
Siyaandiki haya kusimuliwa bali mengine nimeona kwa macho yangu nikiwa macho sijalala.
Ulichokiandika mimi nimekielewa vizuri sana... Kitu hicho kinavyotokea kwako na mimi kwangu ni hivyo hivyo muda mwingine unakuwa umetoka usingizini na kuamka ila muda mfupi huo huo baada ya kuamka ndipo kunatokea hicho kitu na mpaka kuja kuisha unakuwa ndio umeshaamka kabsa kabsa
 
KUNA MAMBO UNATAKIWA KUJUA KWENYE HILI.
1. Mungu anasema watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa. (Hosea 4:6). (Yaani kuomba watu tunaomba lakini maarifa ya kuombea au kutatua tatizo kwa namna sahihi hatuyatafuti) Ninayaongea haya kwa sababu katika kuhudumia watu mbalimbali nimekutana na watu wengi ambao watakwambia kitu kilekile ambacho Mungu ameniambia mimi lakini walioneshwa tatizo halafu hawatafuti ni namna gani Mungu ameweka njia ya kutokea kwenye hilo tatizo

2. Nimekutwa na tatizo hilo kwa muda kidogo. Niliomba sana lakini halikuisha hilo tatizo kwa maombi niliyokuwa nikiomba.

3. Nikaanza kufuatilia hili jambo lipo vipi. Kwanza hiyo si ndoto bali ni tukio halisi linalokuwa linatokea muda huo. Mimi nilianza kuwa makini kufuatilia ndipo nikaona kuwa anapokuja mtu huyo huwa macho yanaanza kuwa mazito na ninaanza kuishiwa nguvu hata nikianza kuomba siwezi halafu ghafla utaona mtu anakuja na kufanya anachofanya. Kweli nikawa napata hasira sana lakini nikanza kuamuru wale watu warudi ili niwaone vizuri ni nani? Kweli walikuwa wanarudi.

NIKAMUULIZA MUNGU HII KWA NINI INAKUWA HIVI. AKANIJIBU MAJIBU YAFUATAYO.
1. Sina nguvu za kiroho. Nguvu za kiroho zinakuwa zinajiactivate automatical inapotokea shida yoyote na unaweza kushinda katika ulimwengu wa roho na kushinda. Soma Waamuzi 16:20, Halafu soma mistari ya nyuma yake ujue chanzo cha kuishiwa nguvu(Yaani kumuasi Mungu na agano lake) Nikaomba maombi ya Samsoni kwenye Wafalme 16:28.

2. Akaniuliza swali hili je unayo damu ya Yesu Kristo? Unaifanyia nini?

3. Akanifundisha kuhusu malaika walinzi alionipa na namna ya kuwatumia. Kweli watu tunaangamizwa kwa kukosa maarifa. Aliniambia malaika hawajui lugha yako ya kusema malaika fulani naomba bali wanaijua lugha ya amri ambayo ndiyo wanatakiwa kutii. Mfano Unasema kwa jina la Yesu Kristo enyi malaika walinzi ninawaamuru kukaa katika nafasi yenu na kunilinda. (Hapa nakwambia nilichokiona mwenyewe nilikuwa najificha maana kulikuwa na risasi zikitembezwa mpaka niliogopa) Nikashangaa sana na kumtukuza Mungu. Mungu ametupa vitu vikubwa sana lakini hatujui kuvitumia.

Tatizo limeisha na wala sioni tena hizo habari. Wale watu wananiogopa sasa maana siku ya pili niliona kwa jinsi ya mwili nilipokutana na mmoja wa wale watu.

NB: Tafuta maarifa sahihi kutoka kwa Mungu ya jambo linaliokukuta. Yohana 16:13
Nimesoma mara mbili mbili huu ushauri ili niuelewe vizuri lakini nimebaki na maswali ambayo ningependa nikuulize lakini kabla sijakuuliza nitapitia kwanza hivyo vifungu vya biblia. Lakini nashukuru sana [emoji1431]
 
Pole ndugu lakini Kama bado hujapata majibu ya hili fuata muongozo huu hapa ambao mimi nilifanikiwa nao

Usijali kama una maswali uliza tu.
 
Uwe unamshirikisha katika sala kama ambayo uliisali.
Acha upotoshaji, Sala zetu na maombi yetu ni kwa Baba wa mbinguni kupitia Yesu Kristo pekee na sio vinginevyo.Kuomba kupitia Maria na watu wengine ni upagani maana hamna popote kwenye Katiba yetu iliposemwa tuombe kwa Maria.
 
Back
Top Bottom