Simba ni mamlaka iliyo kuu, ya kifalme katika ulimwengu wa roho, inategemea una nini unacho ndani yako, ulicho kuwa nacho mamlaka ya giza lazima watumie nguvu kubwa zaidi ili kukuwinda.niliota nipo na watoto Wangu juu ya kilima tumejishikilia padogo sana halafu kuna bonde linabubujika maji meupe sana kwenye ukuta wa marumaru nzuri,pia Leo nimeota simba mkubwa anatoka darini ananifukuza mm na wanangu .naomba msaada wa tafsiri
ninasali naabudu ktk roho na kweli,vita ni Kubwa kwa kweli nazidiwa,kadri navyoomba ndivyo majaribu yanazidiSimba ni mamlaka iliyo kuu, ya kifalme katika ulimwengu wa roho, inategemea una nini unacho ndani yako, ulicho kuwa nacho mamlaka ya giza lazima watumie nguvu kubwa zaidi ili kukuwinda.
Hudhuria maombi huwez vuka kwa kuomba mwenyewe, tafuta madhabahu sahihi ili uvuke hapo. Ila usiache omba pia, inategemea nguvu uliyo nayo ndani yako ya kuomba
Yap I can see mamlaka inayo kufuatiaa ni kubwa, ila usiache kuomba no matter what na ukatae roho.za.mauti kila siku kili uzima ktk familia yako.ninasali naabudu ktk roho na kweli,vita ni Kubwa kwa kweli nazidiwa,kadri navyoomba ndivyo majaribu yanazidi
Uwe mtu wa sala sana hasa ujiombee wewe, familia yako zaaidi ombea hata wakubwa wako ktk sehemu ya kazi. Kiongozi fulani atakuletea majaribu (kufukuzwa na simba) lakini unao ushindi wewe na uzao wako yaani unalo jaribu mbele yako. Vunja kwa yeremia 1:17.niliota nipo na watoto Wangu juu ya kilima tumejishikilia padogo sana halafu kuna bonde linabubujika maji meupe sana kwenye ukuta wa marumaru nzuri,pia Leo nimeota simba mkubwa anatoka darini ananifukuza mm na wanangu .naomba msaada wa tafsiri
aminaUwe mtu wa sala sana hasa ujiombee wewe, familia yako zaaidi ombea hata wakubwa wako ktk sehemu ya kazi. Kiongozi fulani atakuletea majaribu (kufukuzwa na simba) lakini unao ushindi wewe na uzao wako yaani unalo jaribu mbele yako. Vunja kwa yeremia 1:17.
Una nguvu kubwa ktk ulimwengu wa roho ila unaichezea kiasi cha kuweka njia ya kuingizwa mauti na wachawi kama hutobadilika(yaani kitanda ni kaburi na waliokuzunguka ndiyo wanaohangaika kukutia umauti).Wamkuu naomba unisaidie nini maana ya ndoto hii.
Mara kwa mara nilikuwa naota ndoto nakemea wachawi / mapepo unakuta nimelala ninaota ndoto kunawatu wamezunguka kitanda changu au mara nyingine wamenikaba.
basi huaza kuwakeme nanikiona wananishinda kiwanyoshea kiganja cha mkono hutoa moto naku wasambaratisha niki taja damu ya Yesu hii inamaana gani?
Pesa ni uchumi wako, hivyo angalia hizo pesa ni za aina gani? Coin or not, uchumi unaweza ukawa umefungwa hapo ila angalia mazingira ya ndoto yalivyo ielezee vzr
Umeokoka?Naombeni msaada wa tafsiri ya ndoto hizi, na zote nliziota mfululizo ndani wiki 1:-
1. Nliota rafiki wa mdogo wangu wa kiume ananitaka kimapenzi nikamkatalia, kaanza kunikimbiza ndotoni akiwa kashika kisu ili anichome, ile anataka kunichoma tu nkashtuka usingizini kwa kupiga yowe hapohapo nkaanza kukemea.
2.Nliota natembea mazingira nisiyoyafahamu kabsa, ghafla akatokea kijana wa kiume akawa anataka kunibaka, na sehemu hyo tulikuwa wawili tu.Nkatumia nguvu kupigana nae, mwisho wa siku nlifanikiwa kumvunja shingo yake na mikono yangu ilitapakaa damu, baada ya hilo tukio nkakimbia kutafuta maji niweze kujisafisha mikono, Nlibahatika kusafisha mikono na kuondoka,, Sikuweza msimulia mtu hilo tukio hadi pale nlipokuja kukamatwa kuwa nimeua, na mlalamikaji akiwa ni mpenzi wa niliyemuua ndotoni, nikaitwa mahakamani kusomewa shtaka, hyo siku ya kusikiliza kesi kulikuwa na watu nlokuwa nawafahamu waliokuja kusikiliza kesi,, ila wote walionekana kuwa upande wa mleta shtaka na kati ya hao wote ni mmoja tu ndiye aliyekuwa upande wangu.
Nikahukumiwa kunyongwa, nlilia sana ndotoni, na yule aliye kuwa upande wangu nae alilia sana.. Ghafla nikajikuta nmeshikilia biblia nsijue imetoka wapi,,, nliikumbatia hadi pale nliposhtuka ndotoni, kuangalia muda ilikuwa saa 9 kasoro usku,, ndo nliponyenyuka na kuchukua biblia nkaishia kuikumbatia hadi asubuhi (Sikupata tena usingizi).
Ndoto zote mbili maana yake ni moja.Naombeni msaada wa tafsiri ya ndoto hizi, na zote nliziota mfululizo ndani wiki 1:-

Nyongeza.Naombeni msaada wa tafsiri ya ndoto hizi, na zote nliziota mfululizo ndani wiki 1:-

Kiongozi embu angalia post [HASHTAG]#104[/HASHTAG] UNIELEWESHE MAANA YAKENyongeza.
Ktk shida zako watakusaliti wengi hata unaowaamini lakini usikate tamaa Mungu pekee hatokuacha(kuona mmoja yuko upande wako wengine hapana).
Ndoto ya kuota viongozi wakubwa wa nchi ama dunia au kuota wafalme na watakatifu kadhaa ni ishara ya uwepo wa mamlaka kuu ya kiuongozi utawala ndani yako. Yaani yaweza isidhirike kwako lakin ikaonekana kwa wanao.Kiongozi leo nimeota nimeonana na kuongea na Marais wawili wastaafu wa Marekani wa kwanza ni Ronald Reagan na Bush mtoto.Nini maana yake?
Asante sana mtumishi ntaufanyia kazi ushauri wakoNdoto ya kuota viongozi wakubwa wa nchi ama dunia au kuota wafalme na watakatifu kadhaa ni ishara ya uwepo wa mamlaka kuu ya kiuongozi utawala ndani yako. Yaani yaweza isidhirike kwako lakin ikaonekana kwa wanao.
Rejea maono ya Ibrahim kuhusu israel na yusuph kuona ngombe wanene wanamezwa na wembamba.
Uwe na amani ni ndoto nzuri ila inahitaji kuombewa ili itimie.
Tambua kuwa Mungu hachaguliwi wa kumbariki .Huwapa wote kwa mapenzi yake. Wengi wameshindwa kufikia malengo ya ndoto zao kwa kudharau wanachoota.