Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani ningekuwa ninaijua bible km wewe!Naomba nianze na hiyo kula chakula
Chakula kinaweza kuwa sadaka, au maagano unaingizwa katk maagano ya kichawi au unalishwa nyama za kichawi katika ndoto
Ndoto ni hali halisi katika ulimwengu wa roho
HeSabu 25:1
Basi Israel akakaa Shitimu, kisha watu wakaanza kuzini pamoja na wanawake, wa Moabu
2 kwakuwa waliwaalika hao watu waende sadakani, sadaka walizowachinjia miungu yao, watu wakala, wakaisujudu hiyo miungu yao.
3 Ikawa Israel kujiunganisha na Baal-peori, unaona hapo juu
Nataka uone tu chakula kilivyo waunganisha na Israel na miungu wa wamoabu
Chakula kiliwaunganisha
Hivyo hicho chakula ni agano unaingizwa na hao wachawi au inaweza ikawa ni maagano ya kwenu
Hiyo inaweza kukufanya hata nguvu ya kuomba ukakosa ikaisha kabisa, wanamaliza kiu yako ya kumtafuta Mungu sababu wameunganisha katika maagano ya kichawi
Inaweza ikawa wanakulisha chakula na kukuingizia ugonjwa wengine hata hamu ya kula wanakosa kabisa
Anza na toba kwaajil yako famlia au chochote kilicho mpa uhalal kukupata ktk ndoto, omba toba kwa agano lolote ulilo ingizwa kwa kujua au kutokujua
Omba toba katika sehemu yeyote inayo mzuia Mungu kutokusikia maombi yako tumia damu ya Yesu
Tumia damu Ya Yesu kuimimina katika mwili wako ili kuvunja agano ulilo ingizwa
Ebrania 10:9
.....aondoe la kwanza ili kusudi asimamishe lile la pili( la kwanza ni agano la kale la pili ni jipya)
Hivyo sema navunja agano sawa sawa na ebrania 10:9
Nafuta hilo agano
Natengua viapo vyote kwa damu ya Yesu, nabatilisha pia.kwa damu ya Yesu
Kolosai 1:13
Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa mwana wa pendo lake
Toa jina lako katika list ya kichawi au ktk nguvu za giza lipatanishe katika madhabahu ya Mungu patanisha katika nafsi ya Mungu kwa Kristo Yesu
2corintho5:18
Lakini vyote pia vyatokana na Mungu, aliyetupatanisha sisi na nafsi yake kwa Kristo,
Ukiwa unajitoa mtoe na mwanao ppia
Funga huo mlango wa ndoto kwa damu ya pasaka ili shetan asipate nafasi ya kupita tena
Tangaza kuwa nipo huru kwa Jina la Yesu isaya 61:1
Huyo mdada wa kazi bado unaye? Uliye muota ktk ndoto?
Kuhusu kuota walio kufa
Hakuna ushirika ktk ya walio hai na wafu mtu akifa kafa hawez kukurudia
Hiyo ni mizimu inabeba sura za marehemu kata huo muunganiko kwa damu ya Yesu
Toba ni muhimu, tafuta somo la malango nilielezea jins ya kuomba toba,
Sijaandika vyote, Mungu anisaidie nitaandika vzr tena
Utaweza tu mwenyew bado najifunza kila siku, ni vita kusoma neno lazima uombe, kiu yako Mungu aijazeNatamani ningekuwa ninaijua bible km wewe!
Mungu mwema sana naendelea kujikomboa na ananisaidia!
Dada wa kazi aliondoka ila alinitafutia mwingine yy mwenyewe.
Kuota upo juu ya mti mrefu au ghorofa refu na unaogopa kushuka hii ina maana gani plzUtaweza tu mwenyew bado najifunza kila siku, ni vita kusoma neno lazima uombe, kiu yako Mungu aijaze
Ni jaribu!. Endelea kuvunja ukitumia kitabu cha yeremia 1:19.bwana yesu asifiwe ,mimi nina madhabahu kwa ajili ya maombi chumbani kwangu sasa niliota usiku nipo kwenye ile madhabahu ila nimezungukwa na giza nene kila upande nikaamka nikavunja lile giza ila sijaelewa maana yake,naomba msaada
Hukuiombea kabla hujaanza kutumia? Giza ni nini? Lazima ujue nn maana yake,bwana yesu asifiwe ,mimi nina madhabahu kwa ajili ya maombi chumbani kwangu sasa niliota usiku nipo kwenye ile madhabahu ila nimezungukwa na giza nene kila upande nikaamka nikavunja lile giza ila sijaelewa maana yake,naomba msaada
Hukuiombea kabla hujaanza kutumia? Giza ni nini? Lazima ujue nn maana yake,bwana yesu asifiwe ,mimi nina madhabahu kwa ajili ya maombi chumbani kwangu sasa niliota usiku nipo kwenye ile madhabahu ila nimezungukwa na giza nene kila upande nikaamka nikavunja lile giza ila sijaelewa maana yake,naomba msaada
Kuweka nia lazima umwambie Mungu hii ni mahali pako, sehemu yeyote ambayo unataka Mungu atumie lazima uombe kwa maombi ya toba, ili kama kuna nguvu za giza ziondoke ili kama kuna ufalme wa giza uondoke na nuru ikae hapo.sikuiombea kwa kweli ila niliweka nia kwamba hapa ni kwa ajili ya maombi,nashukuru kwa kunielewesha nitaikabidhi mkononi mwa MUNGU
ahsante sana dada mwenyezi mungu azidi kujitukuza kupitia weweKuweka nia lazima umwambie Mungu hii ni mahali pako, sehemu yeyote ambayo unataka Mungu atumie lazima uombe kwa maombi ya toba, ili kama kuna nguvu za giza ziondoke ili kama kuna ufalme wa giza uondoke na nuru ikae hapo.
Kinywa chako kina nguvu mno tamka kwa maneni fuatisha neno la Mungu ukimaanisha, usiombe bila kuwa na neno
Ni kitu kizur umeota ndoto Mungu amekuonyesha kuwa kuna ufalme mwingine siwez ingia hivyo nahitaji uombe ili nuru ikae hapo ili aweke makazi hapo.
Trust me umefanya kitu kizuri na utamuona Mungu kwa kias kikubwa. Kila siku mwaga damu ya Yesu hapo iondoe chochote ambacho si cha ki Mungu. Toba anza na toba
Kama unaweza kwepa maadui katika ndoto ni kitu kizuri wala sio cha kukemea zaidi uzidi kusoma Neno na ukae kwa utakatifu kwa Mungu.mimi ninaota tangu utoto wangu ninauwezo wa kutembea hewani kama napanda ngazi na hiyo hunisaidia kuwakimbia maadui ndotoni au hata kuwashangaza wengine Divine... nipe suluhisho dada
Omba utakaso kwanza kabla ya kuombea ardhi hiyo. Jitakase kwa maombi kisha anza kuombea ardhi hiyo.bwana yesu asifiwe wapendwa .nimeota nyumba yangu naiona katika ramani ile ile lakini inaonekana chakavu sana na imejengewa fito zilizochakaa nikashtuka nikiwa na hofu sana na kabla ya hapo nilikuwa naombea ardhi ya nyumba yangu,naomba msaada tafadhali
Mungu humpenda mtu mkweli.Nilikuwa na shida ya ndoto za kuota nafanya ngono, kula, kuota misiba! Ila nikasali sana na kuomba huruma ya mungu
Ila siku moja, nikaota napewa wali na nyama nikakasirika sana kimoyomoyo nikasema namwaga kweli nikakibamiza ukutani kwa ujasiri mkuu. Jamani ila nimeota tena juzi napewa wali na uncle wangu nikala vijiko viwili ndio nikastuka tena jamani nikaanza kukemea...
Nimeota tena eti nashindwa kumuua mwanangu wa kipepo mikono inakosa nguvu KBS
Pia nashindwa kunyang'anya mkoba wangu upo kwa shetani..!!
Nimeota tens nimepewa yai ( yai LA kuku) na MTU nisiyemjua nikapokea daaaah!!
Kinyonga amening'ata nikamkamata nikataka kumchoma moto mume wangu akazembea akakimbia yule kinyonga..
Furaha yote imetokomea.
Mungu wangu nisaidie.