Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Ndoto tunazoota na tafsiri zake

niliota nipo na watoto Wangu juu ya kilima tumejishikilia padogo sana halafu kuna bonde linabubujika maji meupe sana kwenye ukuta wa marumaru nzuri,pia Leo nimeota simba mkubwa anatoka darini ananifukuza mm na wanangu .naomba msaada wa tafsiri
Simba ni mamlaka iliyo kuu, ya kifalme katika ulimwengu wa roho, inategemea una nini unacho ndani yako, ulicho kuwa nacho mamlaka ya giza lazima watumie nguvu kubwa zaidi ili kukuwinda.

Hudhuria maombi huwez vuka kwa kuomba mwenyewe, tafuta madhabahu sahihi ili uvuke hapo. Ila usiache omba pia, inategemea nguvu uliyo nayo ndani yako ya kuomba
 
ninasali naabudu ktk roho na kweli,vita ni Kubwa kwa kweli nazidiwa,kadri navyoomba ndivyo majaribu yanazidi
 
Yap I can see mamlaka inayo kufuatiaa ni kubwa, ila usiache kuomba no matter what na ukatae roho.za.mauti kila siku kili uzima ktk familia yako.
Simba ni ufalme ni ngazi ya juu kimamlaka.
Usiache kuomba, usiache kuomba, muombe Mungu ashuke kama mfalme akupiganie ashuke kama Bwana wa majeshi akupiganie.

Utavuka, walio upande wetu ni wengi kuliko walio upande wao. Usirudi nyuma
 
niliota nipo na watoto Wangu juu ya kilima tumejishikilia padogo sana halafu kuna bonde linabubujika maji meupe sana kwenye ukuta wa marumaru nzuri,pia Leo nimeota simba mkubwa anatoka darini ananifukuza mm na wanangu .naomba msaada wa tafsiri
Uwe mtu wa sala sana hasa ujiombee wewe, familia yako zaaidi ombea hata wakubwa wako ktk sehemu ya kazi. Kiongozi fulani atakuletea majaribu (kufukuzwa na simba) lakini unao ushindi wewe na uzao wako yaani unalo jaribu mbele yako. Vunja kwa yeremia 1:17.
 
amina
 
Wamkuu naomba unisaidie nini maana ya ndoto hii.
Mara kwa mara nilikuwa naota ndoto nakemea wachawi / mapepo unakuta nimelala ninaota ndoto kunawatu wamezunguka kitanda changu au mara nyingine wamenikaba.
basi huaza kuwakeme nanikiona wananishinda kiwanyoshea kiganja cha mkono hutoa moto naku wasambaratisha niki taja damu ya Yesu hii inamaana gani?
 
Una nguvu kubwa ktk ulimwengu wa roho ila unaichezea kiasi cha kuweka njia ya kuingizwa mauti na wachawi kama hutobadilika(yaani kitanda ni kaburi na waliokuzunguka ndiyo wanaohangaika kukutia umauti).
Amua kusimama upande ulio sahihi uharibu kazi zao.
 
Pesa ni uchumi wako, hivyo angalia hizo pesa ni za aina gani? Coin or not, uchumi unaweza ukawa umefungwa hapo ila angalia mazingira ya ndoto yalivyo ielezee vzr

Ntawezaje kufanya ndoto ninayoiota kila mara nisiote tena.

Maana mpaka sasa bado ndoto ya kucheza mpira na rafiki zangu niliyosoma nao shule ya msing inanirudia sana,ijapokuwa huwa tunafurahi sana.

Ndoto ya kupaa angani kwa namna ninayoipenda huku nafurahi mara nyingine napaa angani kwa tabu huwa najitahid nipae juu zaid lakin nashindwa,nayo ndo hii inaniandama kila wakati,

Ndoto ya baba mdogo kuniwekea mitego ili nife lakin anashindwa kwani kabla hajatimiza mimi nakuwa nimeshajua bado nayo yaniandama.

JE HAKUNA NAMNA AMBAYO NAWEZA KUZIKWEPA NDOTO HIZI ?

Je hazina madhara ?
 
Ccf FCC
,,,,,,,, kwa mud alight only hokum my it Bing it mmHg 7
l ," , . Moujik[attach mp[emoji345][emoji337] [emoji643][emoji644] [emoji748] [emoji756]ppl[emoji788] [emoji788] l[emoji788] ]59468íb3[/ATTACH]
 
Attachments

  • IMG-20170924-WA0002.jpg
    IMG-20170924-WA0002.jpg
    69.2 KB · Views: 91
Naombeni msaada wa tafsiri ya ndoto hizi, na zote nliziota mfululizo ndani wiki 1:-

1. Nliota rafiki wa mdogo wangu wa kiume ananitaka kimapenzi nikamkatalia, kaanza kunikimbiza ndotoni akiwa kashika kisu ili anichome, ile anataka kunichoma tu nkashtuka usingizini kwa kupiga yowe hapohapo nkaanza kukemea.

2.Nliota natembea mazingira nisiyoyafahamu kabsa, ghafla akatokea kijana wa kiume akawa anataka kunibaka, na sehemu hyo tulikuwa wawili tu.Nkatumia nguvu kupigana nae, mwisho wa siku nlifanikiwa kumvunja shingo yake na mikono yangu ilitapakaa damu, baada ya hilo tukio nkakimbia kutafuta maji niweze kujisafisha mikono, Nlibahatika kusafisha mikono na kuondoka,, Sikuweza msimulia mtu hilo tukio hadi pale nlipokuja kukamatwa kuwa nimeua, na mlalamikaji akiwa ni mpenzi wa niliyemuua ndotoni, nikaitwa mahakamani kusomewa shtaka, hyo siku ya kusikiliza kesi kulikuwa na watu nlokuwa nawafahamu waliokuja kusikiliza kesi,, ila wote walionekana kuwa upande wa mleta shtaka na kati ya hao wote ni mmoja tu ndiye aliyekuwa upande wangu.
Nikahukumiwa kunyongwa, nlilia sana ndotoni, na yule aliye kuwa upande wangu nae alilia sana.. Ghafla nikajikuta nmeshikilia biblia nsijue imetoka wapi,,, nliikumbatia hadi pale nliposhtuka ndotoni, kuangalia muda ilikuwa saa 9 kasoro usku,, ndo nliponyenyuka na kuchukua biblia nkaishia kuikumbatia hadi asubuhi (Sikupata tena usingizi).
 
Umeokoka?
 
Kiongozi leo nimeota nimeonana na kuongea na Marais wawili wastaafu wa Marekani wa kwanza ni Ronald Reagan na Bush mtoto.Nini maana yake?
 
mimi yangu hii hapa nimerudi nyumbani kutoka kazini nimekaa sebuleni na mke wangu pembeni yetu amekaa rafiki wa mke wangu wanapiga stori baadae kidogo anatokea mwanaume anaingia ndani na anakwenda moja kwa moja chumbani kwetu tunakolala,mke wangu ananyanyuka na kuongea na yule mwanaume pale chumbani na sekunde chache huyu mwanaume anaondoka mimi nikawanimepigwa na butwaa huyu amepitiliza hadi chumbani?Nikaamka!!sasa naomba tafsiri asante
 
Naombeni msaada wa tafsiri ya ndoto hizi, na zote nliziota mfululizo ndani wiki 1:-

1. Nliota rafiki wa mdogo wangu wa kiume ananitaka kimapenzi nikamkatalia, kaanza kunikimbiza ndotoni akiwa kashika kisu ili anichome, ile anataka kunichoma tu nkashtuka usingizini kwa kupiga yowe hapohapo nkaanza kukemea.

2.Nliota natembea mazingira nisiyoyafahamu kabsa, ghafla akatokea kijana wa kiume akawa anataka kunibaka, na sehemu hyo tulikuwa wawili tu.Nkatumia nguvu kupigana nae, mwisho wa siku nlifanikiwa kumvunja shingo yake na mikono yangu ilitapakaa damu, baada ya hilo tukio nkakimbia kutafuta maji niweze kujisafisha mikono, Nlibahatika kusafisha mikono na kuondoka,, Sikuweza msimulia mtu hilo tukio hadi pale nlipokuja kukamatwa kuwa nimeua, na mlalamikaji akiwa ni mpenzi wa niliyemuua ndotoni, nikaitwa mahakamani kusomewa shtaka, hyo siku ya kusikiliza kesi kulikuwa na watu nlokuwa nawafahamu waliokuja kusikiliza kesi,, ila wote walionekana kuwa upande wa mleta shtaka na kati ya hao wote ni mmoja tu ndiye aliyekuwa upande wangu.
Nikahukumiwa kunyongwa, nlilia sana ndotoni, na yule aliye kuwa upande wangu nae alilia sana.. Ghafla nikajikuta nmeshikilia biblia nsijue imetoka wapi,,, nliikumbatia hadi pale nliposhtuka ndotoni, kuangalia muda ilikuwa saa 9 kasoro usku,, ndo nliponyenyuka na kuchukua biblia nkaishia kuikumbatia hadi asubuhi (Sikupata tena usingizi).
Ndoto zote mbili maana yake ni moja.
Uko ktk wakati mgumu ktk ulimwengu wa roho kufungishwa ndoa na ulimwengu wa giza jambo ambalo likitekelezwa litakupa shida ktk ndoa yako ama kufiwa mwenza, ugumba, na mengineyo uvunjikaji wa ndoa. Wewe umekataa hivyo una ushindi mkubwa japo utapitia misukosuko kadhaa kuufikia ushindi huo.
Kuota unataka kuchomwa kisu ni ishara ya kutaka kuingiziwa magonjwa mwilini mwako.
Uwe mtu wa sala maombi kati ya saa 7 hadi tisa mfululizo siku saba utaona jambo zuri. Omba ukiharibu njia za roho giza. Yafaa pia washirikishe viongozi wako wa kiroho wakupe nguvu.
 
Naombeni msaada wa tafsiri ya ndoto hizi, na zote nliziota mfululizo ndani wiki 1:-

1. Nliota rafiki wa mdogo wangu wa kiume ananitaka kimapenzi nikamkatalia, kaanza kunikimbiza ndotoni akiwa kashika kisu ili anichome, ile anataka kunichoma tu nkashtuka usingizini kwa kupiga yowe hapohapo nkaanza kukemea.

2.Nliota natembea mazingira nisiyoyafahamu kabsa, ghafla akatokea kijana wa kiume akawa anataka kunibaka, na sehemu hyo tulikuwa wawili tu.Nkatumia nguvu kupigana nae, mwisho wa siku nlifanikiwa kumvunja shingo yake na mikono yangu ilitapakaa damu, baada ya hilo tukio nkakimbia kutafuta maji niweze kujisafisha mikono, Nlibahatika kusafisha mikono na kuondoka,, Sikuweza msimulia mtu hilo tukio hadi pale nlipokuja kukamatwa kuwa nimeua, na mlalamikaji akiwa ni mpenzi wa niliyemuua ndotoni, nikaitwa mahakamani kusomewa shtaka, hyo siku ya kusikiliza kesi kulikuwa na watu nlokuwa nawafahamu waliokuja kusikiliza kesi,, ila wote walionekana kuwa upande wa mleta shtaka na kati ya hao wote ni mmoja tu ndiye aliyekuwa upande wangu.
Nikahukumiwa kunyongwa, nlilia sana ndotoni, na yule aliye kuwa upande wangu nae alilia sana.. Ghafla nikajikuta nmeshikilia biblia nsijue imetoka wapi,,, nliikumbatia hadi pale nliposhtuka ndotoni, kuangalia muda ilikuwa saa 9 kasoro usku,, ndo nliponyenyuka na kuchukua biblia nkaishia kuikumbatia hadi asubuhi (Sikupata tena usingizi).
Nyongeza.
Ktk shida zako watakusaliti wengi hata unaowaamini lakini usikate tamaa Mungu pekee hatokuacha(kuona mmoja yuko upande wako wengine hapana).
 
Kiongozi leo nimeota nimeonana na kuongea na Marais wawili wastaafu wa Marekani wa kwanza ni Ronald Reagan na Bush mtoto.Nini maana yake?
Ndoto ya kuota viongozi wakubwa wa nchi ama dunia au kuota wafalme na watakatifu kadhaa ni ishara ya uwepo wa mamlaka kuu ya kiuongozi utawala ndani yako. Yaani yaweza isidhirike kwako lakin ikaonekana kwa wanao.
Rejea maono ya Ibrahim kuhusu israel na yusuph kuona ngombe wanene wanamezwa na wembamba.
Uwe na amani ni ndoto nzuri ila inahitaji kuombewa ili itimie.
Tambua kuwa Mungu hachaguliwi wa kumbariki .Huwapa wote kwa mapenzi yake. Wengi wameshindwa kufikia malengo ya ndoto zao kwa kudharau wanachoota.
 
Asante sana mtumishi ntaufanyia kazi ushauri wako
 
Back
Top Bottom