Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Akubariki Mungu aliye juu yani nimejua vizuri kuomba na nimepata nafuu kuuuuubwa kuliko hata nilivyotarajia.

Baraka za Mungu ziwe juu yako na wazao wa tumbo lako @ Heaven sent na mshana jr
 
Natamani ningekuwa ninaijua bible km wewe!
Mungu mwema sana naendelea kujikomboa na ananisaidia!

Dada wa kazi aliondoka ila alinitafutia mwingine yy mwenyewe.
 
Natamani ningekuwa ninaijua bible km wewe!
Mungu mwema sana naendelea kujikomboa na ananisaidia!

Dada wa kazi aliondoka ila alinitafutia mwingine yy mwenyewe.
Utaweza tu mwenyew bado najifunza kila siku, ni vita kusoma neno lazima uombe, kiu yako Mungu aijaze
 
bwana yesu asifiwe ,mimi nina madhabahu kwa ajili ya maombi chumbani kwangu sasa niliota usiku nipo kwenye ile madhabahu ila nimezungukwa na giza nene kila upande nikaamka nikavunja lile giza ila sijaelewa maana yake,naomba msaada
 
Ni jaribu!. Endelea kuvunja ukitumia kitabu cha yeremia 1:19.
 
bwana yesu asifiwe ,mimi nina madhabahu kwa ajili ya maombi chumbani kwangu sasa niliota usiku nipo kwenye ile madhabahu ila nimezungukwa na giza nene kila upande nikaamka nikavunja lile giza ila sijaelewa maana yake,naomba msaada
Hukuiombea kabla hujaanza kutumia? Giza ni nini? Lazima ujue nn maana yake,
Yesu ni nuru na giza haliwezi kushinda nuru

Kama giza ina maana madhabahu yako haijakaa sawa. Iombee achilia damu ya Yesu hapo, itakase toba ni muhimu, na iweke wakfu kwa Mungu.
 
sikuiombea kwa kweli ila niliweka nia kwamba hapa ni kwa ajili ya maombi,nashukuru kwa kunielewesha nitaikabidhi mkononi mwa MUNGU
 
sikuiombea kwa kweli ila niliweka nia kwamba hapa ni kwa ajili ya maombi,nashukuru kwa kunielewesha nitaikabidhi mkononi mwa MUNGU
Kuweka nia lazima umwambie Mungu hii ni mahali pako, sehemu yeyote ambayo unataka Mungu atumie lazima uombe kwa maombi ya toba, ili kama kuna nguvu za giza ziondoke ili kama kuna ufalme wa giza uondoke na nuru ikae hapo.
Kinywa chako kina nguvu mno tamka kwa maneni fuatisha neno la Mungu ukimaanisha, usiombe bila kuwa na neno

Ni kitu kizur umeota ndoto Mungu amekuonyesha kuwa kuna ufalme mwingine siwez ingia hivyo nahitaji uombe ili nuru ikae hapo ili aweke makazi hapo.

Trust me umefanya kitu kizuri na utamuona Mungu kwa kias kikubwa. Kila siku mwaga damu ya Yesu hapo iondoe chochote ambacho si cha ki Mungu. Toba anza na toba
 
ahsante sana dada mwenyezi mungu azidi kujitukuza kupitia wewe
 
mimi ninaota tangu utoto wangu ninauwezo wa kutembea hewani kama napanda ngazi na hiyo hunisaidia kuwakimbia maadui ndotoni au hata kuwashangaza wengine Divine... nipe suluhisho dada
 
mimi ninaota tangu utoto wangu ninauwezo wa kutembea hewani kama napanda ngazi na hiyo hunisaidia kuwakimbia maadui ndotoni au hata kuwashangaza wengine Divine... nipe suluhisho dada
Kama unaweza kwepa maadui katika ndoto ni kitu kizuri wala sio cha kukemea zaidi uzidi kusoma Neno na ukae kwa utakatifu kwa Mungu.

Huo ni ulimwengu wako wa roho unakuwa na vita lakini Mungu anakushindia. Hii ni geneal knowledge,

Zidi kuomba kwa Mungu uombe na sio ukimbie tu uwapige na uwashinde, sababu adui anajipanga sasa kama hujui kuomba muombe Mungu akufundishe kuomba weka nia na kiu ndani yako. Ili hiyo neema ya kushinda vita isikupotee. Sijaweka maandiko hapa hadi nitulie na kupitia maandiko. Lakin kwa ujumla ni hivyo.
Linganisha na maisha yako upoje ukipita ktk vita unashinda au hushindi, unaweza kimbia mahal pabaya au hukimbii?
 
Nilikuwa na shida ya ndoto za kuota nafanya ngono, kula, kuota misiba! Ila nikasali sana na kuomba huruma ya mungu

Ila siku moja, nikaota napewa wali na nyama nikakasirika sana kimoyomoyo nikasema namwaga kweli nikakibamiza ukutani kwa ujasiri mkuu. Jamani ila nimeota tena juzi napewa wali na uncle wangu nikala vijiko viwili ndio nikastuka tena jamani nikaanza kukemea...

Nimeota tena eti nashindwa kumuua mwanangu wa kipepo mikono inakosa nguvu KBS
Pia nashindwa kunyang'anya mkoba wangu upo kwa shetani..!!

Nimeota tens nimepewa yai ( yai LA kuku) na MTU nisiyemjua nikapokea daaaah!!
Kinyonga amening'ata nikamkamata nikataka kumchoma moto mume wangu akazembea akakimbia yule kinyonga..

Furaha yote imetokomea.
Mungu wangu nisaidie.
 
bwana yesu asifiwe wapendwa .nimeota nyumba yangu naiona katika ramani ile ile lakini inaonekana chakavu sana na imejengewa fito zilizochakaa nikashtuka nikiwa na hofu sana na kabla ya hapo nilikuwa naombea ardhi ya nyumba yangu,naomba msaada tafadhali
 
Omba utakaso kwanza kabla ya kuombea ardhi hiyo. Jitakase kwa maombi kisha anza kuombea ardhi hiyo.
 
Mungu humpenda mtu mkweli.
Tayari ulikuwa ulishasajiliwa ktk ulimwengu wa Giza (kula nyama, vyakula na hizo ngono).
Ukishasajiliwa kutoka ni process nzito ambayo lazima uvunje kwa kufunga na kuomba at least siku tatu halafu kila siku kati ya saa saba hadi tisa uwe na maombi ya kuvunja agano within three days utapata majibu. Kataa kufanya mapenzi usingizini kwa damu ya yesu kristo aliye hai. Tumia zaburi 146:6-9 kukataa kuinamishwa na majini. Sema hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…