Ndugu yangu amefeli F6 analia tu kila wakati naombeni ushauri

Mambo gily ? Anauliza matako KUPONA KABISA πŸ€”πŸ€”

Vijana wa Sasa ☺️ wanashangazaa kwa kwelii
Haha tena alivyokuwa fala

Baada ya kuuliza lile swali, nikamtwanga jingine

"We dogo siku ukiwa umelewa na washikaji, ukalala usingizi. Kuamka asubuhi mkund unauma, mwekundu, na umevimba, utawauliza washikaji imekuaje kuaje?"

Eti likasema halitasema kabisa. Dah kuona kwamba hasemi, nikamuliza kesho ukiuma tena hutosema, akajibu sisemi?

Dah dogo kavu sana
 
Noma Sanaa 😊
 
Aisee 😁 πŸ˜‚
 
Hajafeli, labda analia sababu amepata matokeo kinyume na matarajio yake. Hiyo ni division three ya points 15; ajiunge Diploma eg. Optometry, Dental Technology, Orthotics & Prosthetics; Radiology au Nursing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…