Ndugu yangu amefeli F6 analia tu kila wakati naombeni ushauri

Aende TVET. Kwa ufaulu niliosikia na kiwango alichopata, hana sababu ya kulia. Huyo ni PRETENDER
 
Mpe mda matokeo yametoka jana wewe na familia yako mnataka mdecide future pale pale baada ya week atakuwa sawa

Kingine bado ana future nzuri tu Sema mtatumia gharama nyingi na mda wa masomo inabidi achague long path course za diploma Afya, Engeneer ,natural science na biashara ni nzuri cha msingi asikate tamaa tena atakuwa Genius huko diploma
 
Muache alie, ni sehemu ya uponyaji wa nafsi, baadae kilio kitaisha atasema anataka Nini, wala msimbembeleze, Kama ni mwanaume, tafadhali mfikishie ujumbe wangu Kuna vilio vingi Bado mbele, vingi sana, hiki ni cha maandalizi tu!
 
Shukran
 
Muache alie, ni sehemu ya uponyaji wa nafsi, baadae kilio kitaisha atasema anataka Nini, wala msimbembeleze, Kama ni mwanaume, tafadhali mfikishie ujumbe wangu Kuna vilio vingi Bado mbele, vingi sana, hiki ni cha maandalizi tu!
Hahaha ni ke
 
Yaani matokeo yametoka na waliofaulu ni asilimia 90 kadhaa, mwacheni alie.

PCB, PCM, PGM🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aende accountancy huko, ila roho yake haitatulia akiwa anawaona wenye Makoti meupe
 
Ndio miongoni mwa hao 38 Tanzania zima?
 
Unajua maana ya f, anawatukana waliomlipia ada; ffalll; kuliko kupoteza muda na kwenda A level, bora angetumia cheti cha kidato cha nne, kusoma diploma ya miaka mitatu na kuunganisha kwenda digrii.

Ajachelewa bado, elimu ipo kinachotakiwa ni uwezo wa kulipa ada.

Ata urubani akitaka kwenda kusomea inawezekana, muhimu ni hela yake tu.​
 
Alisoma comb gani ..
Kama alisoma sayansi alafu kapata hivo..
Usiseme amefeli kiufupi mtu anayesoma comb ngumu sio kafeli bali kapata chache ..

Rekebisha title sema kapata chache.. ila kama alikua comb za hawa wanasheria ndo tunaweza sema kafeli..

Na kufeli form six ni dalili za upinde kwa mwanaume ila

kama ni mwanamke mwambie aje huki gomzi nipo tayar kumuweka ndani tukaanza maisha akatafuta cha kufanya

Wakuu hayi maandishi mekundu bolden ni seriously issue kama una mdogo wako wa kike hakilisha hasomi na ni mzuri pia anajitambua..

Anaweza kufanya biashara kama
Vijora
Uwakala
Stationary

Naweka kukukaribisha umri 18-23...
Hiki kigezo cha umri zingatia sana sana
Hii ni ofa ambayo natoa kwa week moja tuu ikipita sitaki nisumbuliwe PM...
 
Zile divishen wani za mserereko kakosa!! Kama ana akili ya ufundi mpelekeni VETA ikishindika mleteni shambani
 
Diploma akasome kozi gani?
 
Mishangazi boyyyyy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…