Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

Nime vaa shati jeupe ila kutokana na na kufubaa liko Kama jekundu.
suruali nyeusi ya kitambaa, sema ime nyooshwa.

Halafu niko na mizigo ya magunia, Niki ondoka wata iba mzee.
 
Nime vaa shati jeupe ila kutokana na na kufubaa liko Kama jekundu.
suruali nyeusi ya kitambaa, sema ime nyooshwa.

Halafu niko na mizigo ya magunia, Niki ondoka wata iba mzee.
Sogeza hiyo mizigo yako hapo Saluni nilipo kuelekeza, sio mbali

Isingekuwa hii foleni kuanzia hapa Kimara Bucha ningekuwa nimefika kukupokea.

Sasa jitahidi uishushe hiyo mizigo yako Chini, maana nimeambiwa tangu umeshuka na Basi bado umeiweka Kichwani 😜
 
Mzee nakusubiria hata iwe saa 6 usiku, hakika nakuambia huyu mbuzi ni mkubwa Kama Simba.

Haya jogoo nilio wabeba wame nona, njoo uni pokee kijana wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…