Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

Mzee nakusubiria hata iwe saa 6 usiku, hakika nakuambia huyu mbuzi ni mkubwa Kama Simba.

Haya jogoo nilio wabeba wame nona, njoo uni pokee kijana wako.
Nakuja kukupokea Kijana wangu, usijali

Lakini hicho kiroba cha Mchele cha debe 1 ninavyowafahamu nyie Wasukuma utakula na kumaliza baada ya wiki moja, sasa mbona umesema unataka kukaa DSM miezi 3 πŸ˜œπŸ™Œ
 
Siwezi kufanya ujinga kama huo mbele ya Rais wangu. Simu yangu ishafikia asilimia hamsini hivyo inaanza kuporomoka kwa supidi ya roketi. Muheshimiwa Intelligent businessman nitakukuta mida ya saa tano tano hapo mkuu ngoja niweke simu chaji. ila kumbuka hii ni daaslam usicheke na yeyote.
Tulia hapo hapo nakuja Kijana masikini asije kusepa na huyo jogoo

🀣
 
Nakuja kukupokea Kijana wangu, usijali

Lakini hicho kiroba cha Mchele cha debe 1 ninavyowafahamu nyie Wasukuma utakula na kumaliza baada ya wiki moja, sasa mbona umesema unataka kukaa DSM miezi 3 πŸ˜œπŸ™Œ
Mchele huu ni kitumbo una vimba haswaa, usi ogope kuna gunia 1 la mihogo mibichi hapa.

hivyo nisipo Shiba, nita kuwa nakula hata mihogo yangu.
 
We Jamaa miyeyusho sana, hio saa 5 si wata niibia hawa Jamaa?
 
Hio simu inaporomoka na asimia hamsini🀣

Sasa izime afu washa itafika 90

Utanishukuru baadae
😹😹😹😹😹
 
Brother GENTAMYCINE na Chizi Maarifa hii ni last option kwangu, ila Sina jinsi.

mdogo wenu niko stendi ya magufuli hapa, naomba mni pokee.

Sijaja kivivu niko na mbuzi, jogoo2, mihogo gunia 1 na unga wa dona maana mi siwezi kula chipsi yai.
Ok. Mimi kwa sasa nipo nje ya nchi ila naweza mtuma kijana aje akuchukue haina shida. Nipe mawasiliano. Leo wale kuku wa kienyeji.
 
Rais amekuwa msiri sana anakuja kimya kimya bila msemaji wa CHAMA kujua
 
Mtu kuitwa nusu muamrica nao ni upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…