Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Humu ni jukwaa huru hata CCM mbatumia matusi ya kila aina hakuna wa kuwazuia, lakini live kwenye vyombo vya habari hakuna mpinzani ataweza kuwaita CCM misukule kwani atabambikiwa kesi ukoo wake wote waozee jela

Kuna upande mmoja matusi ni kama mfumo wa kuchangia, ni vizuri kuepuka majibishano ya moja kwa moja na watu wenye matusi na washari. Mimi nawaita Madictator wa JF. W
 
Lisu amefungiwa kufanya kampain kwa siku 20
 
W WAkimuomba vielelezo atakosa
 
Watakaopigia chama cha majambazi ndio wajinga, miaka yote hata bima ya afya ni shida kwa kila mtanzania, halafu mtu anaenda kupoteza muda wake kwenye foleni ya kupiga kura na kuwachagua hao hao kama huo sio ujinga ni nini!.
 
Lissu hajawahi kumbembeleza Shetani na hatothubutu , mlikosea mliposhindwa kumuua tu pale dodoma

Inasemwa kuwa Tundu Lissu alikoswakoswa na wahuni wasofahamu kulenga shabaha.

Mimi sielewi chochote.

Ila kama una taarifa yoyote basi mtafute kamanda Muroto.
 
Kuna upande mmoja matusi ni kama mfumo wa kuchangia, ni vizuri kuepuka majibishano ya moja kwa moja na watu wenye matusi na washari. Mimi nawaita Madictator wa JF. W
Polepole kawaita wapinzani misukule leo hii hii je? NECCCM Tumeccm watamwita kumhoji?
 
NECCCM Tumeccm sasa unatumika vibaya kuminya demokrasia, ICC taasisi za haki za binadamu Duniani waitizame NECCCM kwa jicho la tatu
Wewe sema mpira mnarudisha kwa kipa. Na sisi uchaguzi huu ama afe kipa au beki lazima tuiondoe Chadema kwenye chama kikuu cha upinzani.
 
Akitoka kwenye hiyo kamati atakuwa ameimarika zaidi!Nenda Lisu nenda baba mkono wa Mungu Uko juu yako!
 
Kama kweli tume ipo huru, wamwite Magufuli aje athibitishe Lissu anatumiwa na Mabeberu kama sio uzushi na upunguani
 
Inasemwa kuwa Tundu Lissu alikoswakoswa na wahuni wasofahamu kulenga shabaha.

Mimi sielewi chochote.

Ila kama una taarifa yoyote basi mtafute kamanda Muroto.
kabla mimi sijamtafuta muroto muulize uchunguzi wa jambo lile ulipoishia
 
Jaribuni muone mziki tutaanzisha maandamano yasiyo na kikomo mpaka kieleweke
 
Watakaopigia chama cha majambazi ndio wajinga, miaka yote hata bima ya afya ni shida kwa kila mtanzania, halafu mtu anaenda kupoteza muda wake kwenye foleni ya kupiga kura na kuwachagua hao hao kama huo sio ujinga ni nini!.
Hatuwezi kumchagua Lissu kibaraka wa mabeberu anayetaka kuyaweka madini yetu rehani. Ni mshenzi sana yaani rasilimali zetu akaziweke rehani pumbavu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…