wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Naiomba tume warushe live mahojiano. TBC pelekeni mitambo yenu tume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NECCCM Tumeccm sasa unatumika vibaya kuminya demokrasia, ICC taasisi za haki za binadamu Duniani waitizame NECCCM kwa jicho la tatuThere's a misunderstanding about what NEC does. The notion of NEC independence - where the NEC are the guardians of national elections laws - doesn't mean that Commissioners aren't political.
Nor does the principle of the rule of Electoral law remove politics from the NEC decision process. The rule of law means that Electoral laws must have a basic core minimum of fairness to safeguard basic elections rights and due process protections.
Crucially, the rule of law requires that NEC not be subject to executive fiat, arbitrariness, discrimination and opacity.
Uwingi wetu utaonekana October 28 tutapomchagua Magufuli kwa kura nyingi sana.
Acha uongo wewe kaitwa kwenye kamati tuAfrika kuna mambo sana,
Unaushauri hatari Sana mkuu, hivi hua mnafikilia kesho juu ya taifa hili au mnafikiliaga Leo tu,kwa Sasa tulipo fika tz Kwanza hakuna aliejuu ya nchi ya tz,Nashauri tume wamzuie kupiga kampeni kwa siku 30 au wamuengue
Chanzo atakipata wapi?Lete chanzo cha habari
Sio kumfungia aondolewe na chadema itangazwe kuwa chama cha kigaidi chenye kuleta vitaAfrika kuna mambo sana,
Unapata faida gani au ni uoga unakusumbua?Safi sana, kama ni kweli, ...
Safi sana, kama ni kweli, ...
Kwani ni lazima yafanane na yako? Mimi yangu ndio haya hapa.Hatufanyi mashindano wala ushabiki, tunaangalia maendeleo na tija kwa vizazi na vizazi. Fungua macho na fanya maamuzi sahihi yenye tija sio kwa tumbo lako tu bali jamii nzima.
Hii ndo yenyewe haswaTL asiende tukianzishe hapa hapa. Haina haja ya uchaguzi tena. Wamuite Magufuli kwanza - anadhalilisha akina mama, anafokea wapigakura eti hawapati maendeleo wakichagua wapinzani, sasa wanasema eti TL ana uraia wa nchi nchi nyingine! Waache ushenzi Watanzania tuamue kiongozi tunayetaka atuongoze.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Sio kumfungia aondolewe na chadema itangazwe kuwa chama cha kigaidi chenye kuleta vita
Breaking news kutoka NDANI YA NECChanzo atakipata wapi?
Comrade mbona mmekata tamaa mapema ivyo? Hakuna cha goli la mkono wala nini ni mapenzi na imani thabiti waliyonayo wananchi kwa chama cha mapinduziWazee wa goli la mkono... hatutashangaa ingawa ukweli bado mtakua mmeujua kuwa mnalazimisha kushinda wakati wananchi wamewachoka. Meko ndie alikuwa mkombozi na sasa nae ameharibu kwa ajili ya ubabe wake, sasa sijui mtakimbilia wapi?
Walikuwepo akina Iddy Amin dada Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein mabubu leo hii wapo wapi?Wazee wa goli la mkono... hatutashangaa ingawa ukweli bado mtakua mmeujua kuwa mnalazimisha kushinda wakati wananchi wamewachoka. Meko ndie alikuwa mkombozi na sasa nae ameharibu kwa ajili ya ubabe wake, sasa sijui mtakimbilia wapi?