Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Nyamaza kimya mpumbavu mmoja wewe.
Wewe nnani unatukana watu hapa?
Naona unatumia majina ya Kirussia! Je, unamfahamu Vladimir Putin?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyamaza kimya mpumbavu mmoja wewe.
Kwa hiyo mtu avunje sheria kisa ni mgombea uraia? Pumbavu wewe usie na akili.Kwa nyakati hizi kushughulika na Tundu Lisu kiserikali ni kumpa umaarufu asioustahili.
Kwa mfano Tundu Lisu akiitwa polisi leo media zote na wanasheria wote watahamia huko kuripoti habari zake iwe kwa ubaya au uzuri na hizo ndio kiki zenyewe zinazotafutwa.
Tundu Lisu angeachiwa komredi Polepole amdhibiti kisiasa maana ameonyesha kummudu sana.
Maendeleo hayana vyama!
Haya sasa Lisu amenawa mpira kwenye penalty box..
CCM itashinda jamani mnapoteza muda.
JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
Polepole kawaita wapinzani misukule NECCCM anzeni na polepole kwanza kabla ya Hujuma zenu kwa LisuTundu Lissu ana akili nyingi ila kakosa maarifa.
Kumbuka, akili nyingi.....
Waupande mwingine wamekuwa wakifanya makosa mengi na ya wazi hiyo time Iko wapi ama Ina makengeza ya kuona uelekeo mmoja was wasiowapenda tuu.Haki ionekane ikitendeka.Tume hii hii yenye double standards?
Lissu haropoke ovyo ovyo huko afu wewe mfuasi wake uje kusema kuwa ccm hali mbaya. Hauko serious kabisa.
Wanaolialia ni wale waliozoea vya dezo sasa JPM kaziba mirija mnakuja kulia hapa na bado tunamrudisha awanyoshe tena halafu kabla hajamaliza muhula wa pili tunaleta muswada wa kumuongezea muda mbona mtakimbia nchi.Hamna mtaji wa wananchi, bali mamlaka ya dola. Kwa kipindi cha miaka mitano ya Magufuli, kila mtanzania analo jambo baya alilotendwa.
Anataka tushibe haraka aiseeIla jamaa anaropoka aisee hana breki , lolote linalokuja kichwani anaongea tu bila kudigest.
Polepole kawaita wapinzani misukule NECCCM anzeni na polepole kwanza kabla ya Hujuma zenu kwa Lisu
Wewe ndio unaleta porojo hapa kuwa ccm hali mbaya nakuhakikishia comrade tupo vizuri sana kuwasomesha namba.Ukweli haufutwi kwa porojo
Acheni kulialia mfungeni breki mgombea wenu amezidi kuropokwa.
Ni hivi, sio huru fullstop.
Humu ni jukwaa huru hata CCM mbatumia matusi ya kila aina hakuna wa kuwazuia, lakini live kwenye vyombo vya habari hakuna mpinzani ataweza kuwaita CCM misukule kwani atabambikiwa kesi ukoo wake wote waozee jelaMisukule kwenye siasa hata humu JF mnatumia sana hili neno.
Kuna kauli kadhaa za Tundu Lissu ambazo wao NEC wanazo wataelezana hukohuko Dodoma.
Wewe lipa 15% kwanza utawahi kumaliza deni pia wadogo zako wataweza kupata mikopo ili nao watimize ndoto zao. Acha kuwa na roho mbaya kama mchawi kuna wahitaji wengine pia wanahitaji mkopo lipa mkopo wako ili bodi iweze kuwapa mkopo wengine.Mwache aropoke anatusemea sisi mliotukandamiza kwa muda mrefu sana bila huruma. Eti marejesho ya mkopo 15% kwa mshahara gani unaotoa wauaji nyie.
Lissu hajawahi kumbembeleza Shetani na hatothubutu , mlikosea mliposhindwa kumuua tu pale dodomaTundu Lissu ana akili nyingi ila kakosa maarifa.
Kumbuka, akili nyingi.....
Wanafiki ninyi msionadi sera za chadema mnaowashamulia wagombea wengine kwa majina kinyume na maadili ya uchaguziMwaka huu hatutawapa nafasi ya kupumua kudadeki zenu ! wanafiki nyie !