Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Kwa nyakati hizi kushughulika na Tundu Lisu kiserikali ni kumpa umaarufu asioustahili.

Kwa mfano Tundu Lisu akiitwa polisi leo media zote na wanasheria wote watahamia huko kuripoti habari zake iwe kwa ubaya au uzuri na hizo ndio kiki zenyewe zinazotafutwa.

Tundu Lisu angeachiwa komredi Polepole amdhibiti kisiasa maana ameonyesha kummudu sana.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo mtu avunje sheria kisa ni mgombea uraia? Pumbavu wewe usie na akili.
 
Haya sasa Lisu amenawa mpira kwenye penalty box..

CCM itashinda jamani mnapoteza muda.

JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA

Hatufanyi mashindano wala ushabiki, tunaangalia maendeleo na tija kwa vizazi na vizazi. Fungua macho na fanya maamuzi sahihi yenye tija sio kwa tumbo lako tu bali jamii nzima.
 
Tume hii hii yenye double standards?
Waupande mwingine wamekuwa wakifanya makosa mengi na ya wazi hiyo time Iko wapi ama Ina makengeza ya kuona uelekeo mmoja was wasiowapenda tuu.Haki ionekane ikitendeka.
 
Hamna mtaji wa wananchi, bali mamlaka ya dola. Kwa kipindi cha miaka mitano ya Magufuli, kila mtanzania analo jambo baya alilotendwa.
Wanaolialia ni wale waliozoea vya dezo sasa JPM kaziba mirija mnakuja kulia hapa na bado tunamrudisha awanyoshe tena halafu kabla hajamaliza muhula wa pili tunaleta muswada wa kumuongezea muda mbona mtakimbia nchi.
 
Hii tume.ambayo msingi wake mkubwa ni double standards...Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika....hii tume.ambayo yenyewe haina maadili...ninewupe kama pamba. Wametoa hukumu gani kwa.wagombea ubungena udiwani wa.chadema kwa muda huu wote.

A bunch of sycophants dancing at magufuli's tune all the time.

Magufuli has breached all the codes or regulations of this election and nothing has been said or done against him....
The only help we.need is icc.
 
Polepole kawaita wapinzani misukule NECCCM anzeni na polepole kwanza kabla ya Hujuma zenu kwa Lisu

Misukule kwenye siasa hata humu JF mnatumia sana hili neno.

Kuna kauli kadhaa za Tundu Lissu ambazo wao NEC wanazo wataelezana hukohuko Dodoma.
 
Tume imeshapoteza pambano. Badala ya kusubiri wamhoji wao kabla ya mahojiano wanatumia maneno ambayo yangetumika kwenye hukumu.

Yaani Tume ina vilaza kiasi hiki😅😅😅
Kumbe hata akina sisi walima mchicha tunaweza tukawa logical kuliko Tume.

By the way, ina maana Tume huwa haifuatilii kampeni za mgombea wetu wa CCM? Huyo amekua akitisha wananchi na kuwabagua na kuwasimanga.
 
NECCCM Tumeccm waanze na polepole kwanza aliyewaita wapinzani misukule badala ya kula njama za kumhujumu lisu kwa njia haramu za kishetani
 
Acheni kulialia mfungeni breki mgombea wenu amezidi kuropokwa.

Mwache aropoke anatusemea sisi mliotukandamiza kwa muda mrefu sana bila huruma. Eti marejesho ya mkopo 15% kwa mshahara gani unaotoa wauaji nyie.
 
Ni hivi, sio huru fullstop.

There's a misunderstanding about what NEC does. The notion of NEC independence - where the NEC are the guardians of national elections laws - doesn't mean that Commissioners aren't political.

Nor does the principle of the rule of Electoral law remove politics from the NEC decision process. The rule of law means that Electoral laws must have a basic core minimum of fairness to safeguard basic elections rights and due process protections.

Crucially, the rule of law requires that NEC not be subject to executive fiat, arbitrariness, discrimination and opacity.
 
Misukule kwenye siasa hata humu JF mnatumia sana hili neno.

Kuna kauli kadhaa za Tundu Lissu ambazo wao NEC wanazo wataelezana hukohuko Dodoma.
Humu ni jukwaa huru hata CCM mbatumia matusi ya kila aina hakuna wa kuwazuia, lakini live kwenye vyombo vya habari hakuna mpinzani ataweza kuwaita CCM misukule kwani atabambikiwa kesi ukoo wake wote waozee jela
 
Mwache aropoke anatusemea sisi mliotukandamiza kwa muda mrefu sana bila huruma. Eti marejesho ya mkopo 15% kwa mshahara gani unaotoa wauaji nyie.
Wewe lipa 15% kwanza utawahi kumaliza deni pia wadogo zako wataweza kupata mikopo ili nao watimize ndoto zao. Acha kuwa na roho mbaya kama mchawi kuna wahitaji wengine pia wanahitaji mkopo lipa mkopo wako ili bodi iweze kuwapa mkopo wengine.
 
Back
Top Bottom