Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaogopa kutoa vitisho hata kwa jina bandia basi wewe ni HANITHI huna maana kwa jamii ya WATANZANIA bora mbegu ya baba yako ingeishia kwenye punyeto.
Nyie Richard mnadharau nguvu ya social media na still mnaingia JF na kusoma thread za wanaotumia majina bandia. Magufuli mwenyewe kama ana jiamini mbona analindwa na Kombania nzima na mitambo na helicopter?
Endeleeni kudharau social media halafu muupate muziki kama uliompata Omar Bashir wa Sudan mwaka jana ambaye FB na Twitter ndiyo ziliratibu maandamano ya kumtoa
Kwa mujibu wa Tume ya uchaguzi Lissu kazidi kuropoka ndio maana kaitwa kuhojiwa.Yaani uropokaji kati ya jpm na lissu ngoma droo
Alimtaja mgombea yeyote wa Uraisi na kumshambulia kwa kumtaja jina? Awe wa Chadema au chama chochote kama Lisu anavyofanya kinyume na maadili ya NEC?Kwa hiyo mgombea wa ccm hajaitwa? Aisee
Huyu Lisu na Chadema nzima kwanini wagombea wao hawajabandika posters? Kama kuna sehemu umeona poster ya Lisu ikimnadi naomba upost hapa.
Mwaka huu hamna pa kutokea ccm bado ni chaguo la wengi na tutashinda kwa kishindo kikubwa sana. Iyo mikwara yako haina nafasi.
Sasa comrade wewe unadhani unajua sana kuliko Tume ya uchaguzi? Lissu kaitwa kwa sababu ya kutokwa na meneno ovyo yaani anaropoka. Tume inasimamia wagombea wote na kungekuwa na ulazima wa kumuita JPM wangefanya ivyo ila kwasasa Lissu ndio kaitwa tumuache akanyolewe kelele za nini?Hivi kati ya LUSSU na Magu nani mropokaji? Lissu anapiga hoja nzito kwenye mambo ambayo hamna majibu kama uwanja wa CHATO.
Magufuli aliyesema atampa mama yake amuoe yule mwanaume aliyempa jogoo kule Kilwa. Pima mwenyewe nani mropokaji hapo?
Hawajasema lini wanamhoji Magufuli?, Naona hizo tuhuma za lisu hata Magufuli anazo, bila shaka watamwita au washamwita.?Kwa hii kasi ya Lissu inahitaji kifua kuivumilia naona CCM wameanza kushika shati baada ya kuzidiwa mbio.
Ile kauli ya Bashiru kuwa tutatumia Vyombo vya dola kubaki madarakani naona wamenza kuifanyia kazi.
NEC mjipanga vyema kwa hoja, mkikaa vibaya badala ya kumhoji itaonekana mnahojiwa nyinyi..
Kwa hii hatua naona mmeamua kumpa headline kwenye Vyombo vya habari bila gharama.
Ngoja Lissu awaorodheshee kauli zote tata za Mgufuli .Hawajasema lini wanamhoji Magufuli?, Naona hizo tuhuma za lisu hata Magufuli anazo, bila shaka watamwita au washamwita.?
Kama mnajua hizo ni siasa Lissu mnamuogopa nini, kwani ameongea jambo gani la uongo au linalotishia amani ya nchi
Mashujaa wa nyuma ya keyboard mtafanya nini Lissu akishindwa? Ipo wazi Lissu anaenda kushindwa kwa aibu kubwa sana
Mtaji wetu sisi ni watanzania wenye sifa za kupiga kura, waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na wenye kadi ya mpiga kura kama ni hao ndio unawaita wajinga basi sawa sisi wajinga tutakipigia kura ya ndio chama cha mapinduzi kwa wingi sana.Mtashinda kwa kuiba au kwa kura za wajinga. Mwenye akili hawezi kuwapigia nyie kura bora kupigia kura jiwe.
Sheria ni maandiko yenye uhai. Hayabagui mtu.Tangu siasa zimeanza watawala wamekuwa wakituongopea na safari hii tunawala kichwa hata mfanye nini. Vijijini nako wamewakataa...mmekosaje pa kukimbilia.
Nchi haiwezi kushindwa kwasababu watanzania tumemkataa Lissu kwenye box la kura.Akishindwa TL tumeshindwa wanachi na nchi yote kwa ujumla. Hatuwezi kukubali kuendelea kuendeshwa kibabe kama kweli tuna akili timamu.
Mwaka huu hatutawapa nafasi ya kupumua kudadeki zenu ! wanafiki nyie !Alimtaja mgombea yeyote wa Uraisi na kumshambulia kwa kumtaja jina? Awe wa Chadema au chama chochote kama Lisu anavyofanya kinyume na maadili ya NEC?