Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Haya sasa Lisu amenawa mpira kwenye penalty box..

CCM itashinda jamani mnapoteza muda.

JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
 
Mwaka huu hamna pa kutokea ccm bado ni chaguo la wengi na tutashinda kwa kishindo kikubwa sana. Iyo mikwara yako haina nafasi.
Wengi na nani? Au wewe unasubiri taarifa za TBC na za Polepole?? CCM mtagawana mbao October 28
 
Moto kwenye keyboard ni kawaida mbona? toka nje ukutane na rungu za afande Muroto wewe!

Hili ni bomu la kutegwa na litalipuka mwaka huu. Endeleeni kufanya ujinga halafu muone kama watu wataishia kwenye keyboard. Halafu mnasema nyonyonho...amani wakati nyie ndio viongozi wa kuharibu amani. Yaani mwaka huu hata hizo hoja hazifanyi kazi. Na hili balaa ujue si la chama bali ni la watanzani mliowaonea na kuwadhulumu kwa muda mrefu sasa.
 
Kama walikuwa hawataki ushindani na demokrasia si wangeokoa hela zinazopotea bure katika huu uchaguzi. Hawa ndio vibaraka anaowazungumzia polepole maana huu uchaguzi ni kiini macho kwa ajili ya kuwazuga mabeberu.
Acheni kulialia mfungeni breki mgombea wenu amezidi kuropokwa.
 
Wawe makini na hao wajumbe wa tume wanaotumiwa na CCN .
Sio watu wazuri . Hao ndio watu wasiojulikana wanajivika ngozi ya tume.
Watu wanaopenda dhulma na kuchukia haki.
Amani bila haki ni ncha ya upanga. Huwezi kutangaza amani bila haki.
Dhulma tupi utafikiri hawatakufa.
Dunia inachafuliwa na watu wasiojali Haki
 
Lissu haropoke ovyo ovyo huko afu wewe mfuasi wake uje kusema kuwa ccm hali mbaya. Hauko serious kabisa.
Hivi kati ya LISSU na Magu nani mropokaji? Lissu anapiga hoja nzito kwenye mambo ambayo hamna majibu kama uwanja wa CHATO.

Magufuli aliyesema atampa mama yake amuoe yule mwanaume aliyempa jogoo kule Kilwa. Pima mwenyewe nani mropokaji hapo?
 
Pumbavu mbwa koko wewe,mtu awe anaongea uongao na kuzusha mambo kinyume cha sheria aachwe. Kisa ni mpinzani?

Tangu siasa zimeanza watawala wamekuwa wakituongopea na safari hii tunawala kichwa hata mfanye nini. Vijijini nako wamewakataa...mmekosaje pa kukimbilia.
 
Majibu ni marahisi tu, kuwa tume ya uchaguzi sio huru. Wagombea kibao wa upinzani wameenguliwa na tume ya uchaguzi kwa hila, na wagombea wa ccm wanavunja sheria wazi wazi bila kuchukuliwa hatua. Ni hivi, safari hii kuchezea kokote matokeo hakutakuwa na kumuachia Mungu fullstop.
Do km.m hi Chris
Parasatic Mind
Ni ngumu sana kujibu hoja za Tundu lissu,kwa ufupi jamaa ana akili

Wamuulize Ana Makinda akiwa spika au Samia Suluhi wakati wa Bunge la katiba

Ni dhahiri Tundu lissu hakukariri darasani bali alielewa na ana exposure kubwa

Suala ni kujibu hoja za Kiwanja chato,Pesa za kununua ndege nani anazikagua na zilijadiliwa bungeni?

Kwanini Profesa Assad aliachishwa uCAG

Story hizo za NEC wanasababisha Tundu lissu kuwa na wafuasi wengi zaidi

CCM inasubiri mbeleko ya NEC na Wakurugenzi

Tatizo watu wana maisha magumu

Fujo na vurugu na Maandamano husababishwa na ugumu wa maisha

Venezuela huko tatizo watu maisha magumu

NEC inajichimbia shimo zaidi

Ongezeni mishahara na wekeni uhuru wa habari watu watawapenda
,
 
Back
Top Bottom