Na yale anayoyasema mgombea wao kuwa hatawapelekea maendeleo wananchi waliochagua mpinzani yako kwenye kanuni. Zile simu anazopiga na kuagiza bilioni 10 zipelekwe kujenga bara bara yapo kwenye kanuni, mgombea anawaambia wapigakura wakichagua mpinzani atakasirika sana ati wachague mgombea wa CCM kwakuwa hata asipotekeleza wajibu wake anao uwezo wa kumdhibiti huyo mbunge. Hivi kanuni zinaruhusu Rais kumdhibiti mbunge. Tume yetu itende haki