BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Roho mbaya,tuNashauri tume wamzuie kupiga kampeni kwa siku 30 au wamuengue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho mbaya,tuNashauri tume wamzuie kupiga kampeni kwa siku 30 au wamuengue
Naomba wamuite na Magufuli kwa sababu amekua akiwatishia wananchi kwamba wakichagua upinzani hawatapata maendeleao
Rais Magufuli hayawahi kumtaja mgombea yoyote au kusema uongo! Sasa mwache mgombea wako akajitetee la sivyo atafungiwa kuendelea na kampeni.Hivi umeandika ukiwa na akili timamu kweli?anayofanya magufuli ni sahihi kabisa
Kwangu lissu na jpm kwa uropokaji sawaIla jamaa anaropoka aisee hana breki , lolote linalokuja kichwani anaongea tu bila kudigest.
Dr Tulia alikuwa anamzima bungeni kwa hoja mpaka tundu ana onyesha udhaifu wake wa matundu.Natafakar majibu atakayowapa na maswali atakayowauliza. Mi natoa rai wakimwita mkutano ue Live ili wananchi waone mbichi na mbofumbofu toka Tume iliyojaa upendeleo...!!!
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Kama mnajua hizo ni siasa Lissu mnamuogopa nini, kwani ameongea jambo gani la uongo au linalotishia amani ya nchiHivi wafahamu uzuri neno kutishia?
Hizi ni siasa ati.
Sasa ulotakiwa fisi waachiwe ili wafanye kama walivyofanya kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa.Kama siyo huru mbona unashiriki uchaguzi na umesaini masharti ya kampeni?? Hivi nyinyi mnashida gani kwenye vichwa vyenu??!!
Very tricky. Rais kikatiba yupo na ni Magufuli. DEDs wapo na ni wateuliwa wa Rais. Ni rahisi hawa kusema walikuwa wakijadiri kazi.Baada ya wagombea urais kuapishwa DEDs wanawajibika kwa NEC. Kitendo cha Magufuli kuwaita DEDs Dodoma yeye akiwa mgombea alivunja sheria za uchaguzi kwa kiwango cha kutishia amani.
Hana huyo kwanza hayupo nchini analishwa matango tu kila mara si ndiyo huyu alitangazaga kuwa Rais amekufa yuko Ujerumani. Hatujasahau tuko makini naye ya UK yamemshinda ya TZ atayaweza. Mwambie afanye ujinga hapo UK wamfukuze apate joto ya jiwe!Leta ushahidi wa wakurugenzi kuitwa dodoma.
Mwache Lissu akajitetee mwenyewe!Sasa ulotakiwa fisi waachiwe ili wafanye kama walivyofanya kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Safari hii, watanzania ni lazima washiriki uchaguzi. Watafuata sheria za uchaguzi, na maigizo ya makada wa CCM wanaofanyia kazi zao ndani ya ogiai za Tume.
Wapinzani watasikiliza na kufuata miongozo ya watendaji wa Tume ya uchaguzi lakini siyo kauli za vibaraka wa CCM wanaofanyia kazi zao ndani ya Tume ya uchaguzi.
Kama huyo mahela, ni wa kupuuzwa kwa sababu kuna ushahidi mwingi unaodhihirisha kuwa ni kada wa CCM. Na kuna ushahidi mwingi wa jinsi anavyoshiriki vikao vya siri vya CCM kwa nia ya kuuvuruga uchaguzi, na kufldharau maamuzi ya wananchi. Huyu ni adui wa Taifa. Ni aheri akae kimya. Na kamwe hatashinda katika mbinu na dhamira yake chafu.
Uzuri ni kwamba ushahidi wote umetunzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi anayegawa taifa si yule anayesema mkichagua wapinzani sitaleta maendeleo au mimi naelewa vibaya?Tume hii hii yenye double standards?
Viongozi wa dini waendelee kukaa kimya uvumilivu una mwisho, jpm anaendelea kuvunja kanuni kila sikuHaya ameyataka mwenyewe! Ngoja tusubiri tena wamemlea muda mrefu sana!
Umeelewa vibayaHivi anayegawa taifa si yule anayesema mkichagua wapinzani sitaleta maendeleo au mimi naelewa vibaya?
Kumbe ni mburula tu mi namwonaga kama ni mtu makini.Hana huyo kwanza hayupo nchini analishwa matango tu kila mara si ndiyo huyu alitangazaga kuwa Rais amekufa yuko Ujerumani. Hatujasahau tuko makini naye ya UK yamemshinda ya TZ atayaweza. Mwambie afanye ujinga hapo UK wamfukuze apate joto ya jiwe!