Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Naomba wamuite na Magufuli kwa sababu amekua akiwatishia wananchi kwamba wakichagua upinzani hawatapata maendeleao

Hivi wafahamu uzuri neno kutishia?

Hizi ni siasa ati.
 
Hivi umeandika ukiwa na akili timamu kweli?anayofanya magufuli ni sahihi kabisa
Rais Magufuli hayawahi kumtaja mgombea yoyote au kusema uongo! Sasa mwache mgombea wako akajitetee la sivyo atafungiwa kuendelea na kampeni.
 
Rai yangu kwa viongozi wa dini, hii time itaingiza nchi kwenye matatizo makubwa sana.Tume imetenda mambo ya ajabu sana ambayo haijawahi tokea tangy Uhuru.Ni zaidi ya aibu
 
Kwa nyakati hizi kushughulika na Tundu Lissu kiserikali ni kumpa umaarufu asioustahili.

Kwa mfano Tundu Lissu akiitwa polisi leo media zote na wanasheria wote watahamia huko kuripoti habari zake iwe kwa ubaya au uzuri na hizo ndio kiki zenyewe zinazotafutwa.

Tundu Lissu angeachiwa komredi Polepole amdhibiti kisiasa maana ameonyesha kummudu sana.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kama siyo huru mbona unashiriki uchaguzi na umesaini masharti ya kampeni?? Hivi nyinyi mnashida gani kwenye vichwa vyenu??!!
Sasa ulotakiwa fisi waachiwe ili wafanye kama walivyofanya kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa.

Safari hii, watanzania ni lazima washiriki uchaguzi. Watafuata sheria za uchaguzi, na maigizo ya makada wa CCM wanaofanyia kazi zao ndani ya ogiai za Tume.

Wapinzani watasikiliza na kufuata miongozo ya watendaji wa Tume ya uchaguzi lakini siyo kauli za vibaraka wa CCM wanaofanyia kazi zao ndani ya Tume ya uchaguzi.

Kama huyo mahela, ni wa kupuuzwa kwa sababu kuna ushahidi mwingi unaodhihirisha kuwa ni kada wa CCM. Na kuna ushahidi mwingi wa jinsi anavyoshiriki vikao vya siri vya CCM kwa nia ya kuuvuruga uchaguzi, na kufldharau maamuzi ya wananchi. Huyu ni adui wa Taifa. Ni aheri akae kimya. Na kamwe hatashinda katika mbinu na dhamira yake chafu.

Uzuri ni kwamba ushahidi wote umetunzwa.
 
Baada ya wagombea urais kuapishwa DEDs wanawajibika kwa NEC. Kitendo cha Magufuli kuwaita DEDs Dodoma yeye akiwa mgombea alivunja sheria za uchaguzi kwa kiwango cha kutishia amani.
Very tricky. Rais kikatiba yupo na ni Magufuli. DEDs wapo na ni wateuliwa wa Rais. Ni rahisi hawa kusema walikuwa wakijadiri kazi.

Sijui ilikuwaje huu utaratibu wa DEDs kuratibu chaguzi.
 
Leta ushahidi wa wakurugenzi kuitwa dodoma.
Hana huyo kwanza hayupo nchini analishwa matango tu kila mara si ndiyo huyu alitangazaga kuwa Rais amekufa yuko Ujerumani. Hatujasahau tuko makini naye ya UK yamemshinda ya TZ atayaweza. Mwambie afanye ujinga hapo UK wamfukuze apate joto ya jiwe!
 
It’s about time aanze kupewa reality amekuwa akiishi lala land tangia amefika akidhani he is above the law.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Huyu Lissu na Chadema nzima kwanini wagombea wao hawajabandika posters? Kama kuna sehemu umeona poster ya Lisu ikimnadi naomba upost hapa.
 
Sasa ulotakiwa fisi waachiwe ili wafanye kama walivyofanya kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa.

Safari hii, watanzania ni lazima washiriki uchaguzi. Watafuata sheria za uchaguzi, na maigizo ya makada wa CCM wanaofanyia kazi zao ndani ya ogiai za Tume.

Wapinzani watasikiliza na kufuata miongozo ya watendaji wa Tume ya uchaguzi lakini siyo kauli za vibaraka wa CCM wanaofanyia kazi zao ndani ya Tume ya uchaguzi.

Kama huyo mahela, ni wa kupuuzwa kwa sababu kuna ushahidi mwingi unaodhihirisha kuwa ni kada wa CCM. Na kuna ushahidi mwingi wa jinsi anavyoshiriki vikao vya siri vya CCM kwa nia ya kuuvuruga uchaguzi, na kufldharau maamuzi ya wananchi. Huyu ni adui wa Taifa. Ni aheri akae kimya. Na kamwe hatashinda katika mbinu na dhamira yake chafu.

Uzuri ni kwamba ushahidi wote umetunzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwache Lissu akajitetee mwenyewe!
 
Hana huyo kwanza hayupo nchini analishwa matango tu kila mara si ndiyo huyu alitangazaga kuwa Rais amekufa yuko Ujerumani. Hatujasahau tuko makini naye ya UK yamemshinda ya TZ atayaweza. Mwambie afanye ujinga hapo UK wamfukuze apate joto ya jiwe!
Kumbe ni mburula tu mi namwonaga kama ni mtu makini.
 
Back
Top Bottom