Uchaguzi 2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

Wananchi tulikubali kuwa tuwe na tume ya uchaguzi sasa tume ikifanya kazi yake ipasavyo mnakuja kulialia kuwa wananchi hamheshimiwi. Basi hakuna haja ya kuwepo kwa tume uchaguzi uongozwe kwa matakwa ya chadema.
Tume Ina dabo standard
 
Kwaiyo ulitaka wakwepa kodi waendelee kuchekewa tu? Fastjet afuate sheria na taratibu atarudi kufanya biashara mbona precision ana operates vizuri tu.

Umeona watu wanatumia Precision kama ilivyokuwa fast jest? Kwani kodi walisema hawalipi au ni nyie figisu zenu ili ndege zenu zisikose wateja. Mbaya zaidi na msivyoweza kuwaza wao wameondoka na nyie bado mmekosa wateja wao maana gharama zenu ni kubwa sana. Bila shaka hilo shirika litakufa kama ilivyokufa uda na mwendo kasi unapoelekea sasa hivi. Hiyo SGR subiri tuone kama haitakuwa majanga
 
Wananchi tulikubali kuwa tuwe na tume ya uchaguzi sasa tume ikifanya kazi yake ipasavyo mnakuja kulialia kuwa wananchi hamheshimiwi. Basi hakuna haja ya kuwepo kwa tume uchaguzi uongozwe kwa matakwa ya chadema.
nani kakataa kwamba hakuna tume ya uchaguzi,tofautisha tume ya uchaguzi na tume huru ya uchaguzi
 
Wamemuita wenyewe, WASIMKIMBIE
Ataanza na namna NEC ilivyopotezea mapingamizi yake dhidi ya John Magufuli na Haruna Lipumba, atawaambia namna walivyomteua DEO MWANYIKA Njombe Mjini..atakuja kwenye suala la engua engua na atamalizia na namna John Magufuli anavyotoa rushwa ya uchaguzi kwenye mambo ya barabara


Msimkimbie tafadhali
Na hatumi mwalilishi ng'o
 
Kama mlikopa na kututia kwenye madeni hiyo ni njia bora ya kuliko kujifanya tuna utajiri unaowanufaisha wachache na familia zao. Kila siku sisi matajiri wakati maisha yanazidi kuwa magumu na makato yanazidi kuongezeka.
Fanya kazi kwa bidii huwezi kuja hapa kulialia eti maisha yanazidi kuwa magumu. Ulitaka Magufuli akuletee ugali mezani ?
 
Asipokwenda anaondoliewa kwenye kinyanganyiro .
 
Mwaka huu watalala na tume yao.
Mwenye mtaji wa watu ndie anaemiliki dola
 
Wamezidiwa wanaomba mapumziko
 
Hivi mkuu unataka kutuambia kuwa ndugu Wa Ben saanane,azorry, kamanda mawazo,na wwngine wengi watakuja kufurahia matunda ya kazi ya awamu ya tano,.ili hali ndugu zao wamepotea ndani ya awamu ya tano.
Ni uongo mkuu..
Sasa comrade kupotea kwa watu kuna husika vipi na awamu ya tano? Kama una ushahidi kuwa serikali ya awamu ya tano imewapoteza hao watu tunakuomba utuletee hapa ili tujiridhishe na shutuma zako.
 

Tena usiingie huko kwenye bunge, hao ndio wendawazimu kabisa. Wao wanajali maslahi yao na matumbo yao tu. Wengi wao wakiwa chama cha majambazi. Hawa hoja yoyote kandamizi hawawezi kukataa na kama wasingekuwa wengi bungeni tumgelipa mkopo kama ilivyokuwa kwenye mikataba na sio haya mambo ya unyonyaji. Nitaenda kupiga kura ili nipaze sauti yangu na kujisikia furaha kuwa sijachagua hawa wanyanyasaji na wanyonyaji wa chama cha majambazi.
 
Hahahaa kwani ni uwongo jiwe hajajenga uwanja wa ndege Chato kwa kumtumia Mayanga? waambie watulie sindano zizame ipasavyo
Kweni lini weww ulianza na maendeleo ya jirani yako kabla ya mkeo/mumeo na watoto nyumbani kwako wewe mwenyewe?

Nyambafu nyie watu wengine mko kama ni watoto sijui au ni wehu
 
Nichukue fursa hii kuipongeza tume kwa kuchukua hatua dhidi ya huyi kbaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…